Ni mali ya Dangote ama ni mali ya Obasanjo?

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.

Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.

Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!

Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
 
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa Nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.

Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.

Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu.INAFIKIRISHA!

Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?!
Wanigeria ndio wahoji Obasanjo vipi ushirika na Dangote? Kam ana hisa alipata wapi hela kuwekeza? aliwaibia? Uko sahihi kwa hoja yako, ila it is not to the detriment of our side in terms of win win investiment
 
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.

Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.

Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!

Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Huyo mzee ni tapeli la kinigeria 'typical'. Hata sura yake imekaa hivyo hivyo.
 
Kuna jambo tuliza kichwa utalielewa.

diplomasia ya nchi kisiasa, kiuchumi inawatu wake na hata diplomasia ya uchumi na matajiri ina watu wake..
Kuna kitu duniani kinaitwa fixing na wahusika tunawaita mafixer, sio kila mtu ni fixer ila haya mambo yana watu wake..

Dangote kama tajiri mkubwa na mwenye mali na mitaji mikubwa yenye effect kwa mataifa na watu wengi lazima kiuchumi awe na mtaalam wa diplomasia aka fixer anayeweza kwenda popote na kumuwekea mambo yake sawa ili kurahisisha uwekezaji wake...

Hili hata wewe ujifunze, siku ukipata hela na kuwa bilionea kama si tilionea basi lazima uwe na watu kama hawa karibu ili uweze kupenetrate kila mahala duniani na kufanya mambo yako...Mfano matajiri wa Bongo wangekuwa wanacross border basi JK angewasaidia sana kwenye uwekezaji sehemu mbalimbali duniani..

Rostam Aziz unajua kwanini alikuwa na urafiki wa ghafla kwa mwendazake na immediately baada ya ule urafiki EL akarudi CCM....RA ni fixer pia kwenye diplomasia za kiuchumi na siasa..japo alirudi CCM pamoja na EL kwa kasi in two ways, JPM aliwahitaji kujikinga na kiticho cha Membe lakini pia RA na EL walihitaji biashara zao ziende kwa kucompromise na JPM, at the end wamebaki washindi maana walijua kuicheza game....(mengine ni mengi yanabaki siri za chumbani)......
 
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.

Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.

Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!

Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Wewe inakuhusu nini?
Fanya kazi nawe upate mali yako wacha umbea na upashukuna.
 
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.

Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.

Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!

Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Nasi tuulize ukwasi alionao Bashite ni wake au jiwe?
 
Mzee nzi hutua kwenye kidonda
 
Kuna jambo tuliza kichwa utalielewa.

diplomasia ya nchi kisiasa, kiuchumi inawatu wake na hata diplomasia ya uchumi na matajiri ina watu wake..
Kuna kitu duniani kinaitwa fixing na wahusika tunawaita mafixer, sio kila mtu ni fixer ila haya mambo yana watu wake..

Dangote kama tajiri mkubwa na mwenye mali na mitaji mikubwa yenye effect kwa mataifa na watu wengi lazima kiuchumi awe na mtaalam wa diplomasia aka fixer anayeweza kwenda popote na kumuwekea mambo yake sawa ili kurahisisha uwekezaji wake...

Hili hata wewe ujifunze, siku ukipata hela na kuwa bilionea kama si tilionea basi lazima uwe na watu kama hawa karibu ili uweze kupenetrate kila mahala duniani na kufanya mambo yako...Mfano matajiri wa Bongo wangekuwa wanacross border basi JK angewasaidia sana kwenye uwekezaji sehemu mbalimbali duniani..

Rostam Aziz unajua kwanini alikuwa na urafiki wa ghafla kwa mwendazake na immediately baada ya ule urafiki EL akarudi CCM....RA ni fixer pia kwenye diplomasia za kiuchumi na siasa..japo alirudi CCM pamoja na EL kwa kasi in two ways, JPM aliwahitaji kujikinga na kiticho cha Membe lakini pia RA na EL walihitaji biashara zao ziende kwa kucompromise na JPM, at the end wamebaki washindi maana walijua kuicheza game....(mengine ni mengi yanabaki siri za chumbani)......
Nimekupata Sana samurai
 
Katika kila makampuni makubwa duniani wenye makampuni hukaribisha viongozi wastaafu kuwa na hisa ili kampuni iheshimike popote

Viongozi wengi wakubwa wamo kwenye makampuni makubwa
Hapo watu wanakuwa na amani kwa uwekezaji maana kidiplomasia huwa wanatumiwa sana hao na kurahisisha mambo

Kina Gordon Brown, Tony Blair na wengi wamo kwenye makampuni makubwa ingawa sio kampuni zao

Dangote ni makampuni yake na alianza biashara zamani sana na kukuza mtaji

Sasa kuwa na Obasanjo ndani ya company sio kuwa ni Mali yake bali ni mmoja wa shareholders na akihitajika kwenye usuluhisho au migogoro kidogo hutumika wao kwani ni heshima

Hata wewe ukiambiwa kampuni fulani shareholder wake ni Rais flani utakuwa na amani pia kwa mali zako
 
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.

Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.

Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!

Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
sasa cc hayo ya nini?!? hata angekuwa na clinton,maduro,evo molares, we dont care!!! tunachohitaji ni wawekezaji tupate ajira, uchumi ukue, na juu ya yote cement iwe nyingi bei ishuke wajameni
 
Rais wa jinsia ya kike anazo faida zake na hasara. Ule ukweli kwamba mtu wa jinsia ya kike kaumbwa na huruma ya asili ni faida ya kwanza kabisa, kwamba hana kile kiburi wanachokuwa nacho wanasiasa wa jinsia ya kiume, moyo wa kukaribisha na kuhurumia unalipatia taifa mengi.

Ukarimu huo huo wa asili alionao ni hasara pia, unaweza kutumiwa vibaya na matapeli wa kimataifa au madalali wenye kutafuta riziki lakini na wao bila ya kujua wakamponza rais mwanamama kwa kuwa ni washirika wa waangamizaji wa taifa.

Mungu ni mwema na naamini atamlinda Mama Samia akiwa katika michakato ya kulitafutia neema zaidi taifa letu.
 
Hiyo haituhusu kwani Jiwe alivyooacha Mali Rwanda hatujui?

Sisi tunataka investment ya ndani ili tujitosheleze na tuuze nje

Mambo ya kuishi kesho hatujui kitatokea nini never acheni watu wafanye investment.
 
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu.

Ukiunganisha dot ni wazi unaweza kushabahiisha mfungamano wa wawili hao ndani ya ushirika wa Dangote Group.

Rejeeni hapo Tz kila uwapo mgogoro kukihusu kiwanda cha Dangote cement mzee mstaafu yule huja kwa haraka Tz na mara baada ya ujio wake huwa hazipiti siku nyingi Dangote naye hukutana na mamlaka za juu za Nchi yetu. INAFIKIRISHA!

Ni kweli haupo ushirika wa kibiashara baina ya wawili hao?
Jibu unalo unauliza tena mkuu?
 
Biashara hazina umbeya ndugu yangu kikubwa hakuna rushwa yeyote ni maendeleo na uwazi tu. Huyu Mzee anatembea Dunia nzima kuhimiza uwekezaji yeye na Raisi wa zamani wa South Mbeki
 
Back
Top Bottom