Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wa chama kimoja kulikuwa na wapinzani wa kweli ambao hawakuiogopa CCM wala mwalimu Nyerere Na lilipoanza vuguvugu la Katiba Mpya ndipo baba wa taifa akatumia akili kubwa sana ya kuitaka...
1 Reactions
2 Replies
516 Views
Kamatia ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kuona umuhimu wa kuanzisha na kujenga Barabara za Kulipia Tozo Ili kuweza kuongeza mapato. Kamatia imetaka Barabara ya Kimara Hadi Kibaha ndio...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Wapigadili, walafi, mafisadi na matapeli wana akili sana. Kila kiongozi anayeingia madarakani humkalia kikao na kujua wapi anawashwa ili wamkune hapo hapo! Hakuna Rais aliyewahi kuwa na mapenzi...
5 Reactions
9 Replies
859 Views
CCM wanaposhangaa ni kwa nini CHADEMA hawaandamani dhidi ya utawala wao dhalimu kwa watanzania, huwa najiuliza maswali mengi sana. Jee CCM ingekuwa iko sehemu ya CHADEMA kwa sasa (Yaani kuwa chama...
0 Reactions
1 Replies
426 Views
Tunakumbushana tu mama baadhi ya Mitaa wajumbe wameshaanza kupitapita. Kimsingi Uchaguzi wa kutumia Katiba Mpya utakuwa 2030 Rais wa sasa atakapomaliza muhula wake wa pili kwa mujibu wa Katiba ya...
1 Reactions
2 Replies
772 Views
Hivi karibuni Serikali iliahidi kuingiza mchele toka nje ya nchi ili kupunguza makali ya bei ya mchele na nafaka zingine! Matarajio ya watu wengi ilikuwa ni bei ya mchele kushuka na kuwasaidia...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ukifuatilia kwa makini utagundua hofu ya CCM iko kwa Umoja Party tu na wala siyo kwa Vyama vingine vya Upinzani kama CHADEMA na ACT Wazalendo Bado nafanya utafiti nijue Ndani ya UP kuna nini...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Bwanku M Bwanku. Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu. Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu...
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika: “Mh Rais SSH kama akiendelea kujenga Demokrasia yenye sura...
9 Reactions
56 Replies
4K Views
Hayo ni maneno aliyoyasema Mchengerwa waziri wa Mali asili na Utalii jana tarehe 20/03/2023 kwenye kikao cha 30 cha baraza la wafanyakazi. Kwako Waziri, naamini ulisema hivyo kwa sababu unajua...
1 Reactions
0 Replies
624 Views
Sio wengi wametafakari maana ya muafaka uliofikiwa na huu msemo wa "siasa za kistaarabu" kama wanavyounadi viongozi wakuu wa vyama vya siasa. Kwa upande wa CCM nawaona haswa wabunge, madiwani na...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Kuweka tumaini kubwa kwenye katiba kwamba ndio itamaliza matatizo yetu yote, ni kujidanganya. Sina hakika na siamini kama vyama vyetu vyenyewe ikiwa katiba zao zimetoa nafasi kwa viongozi wake...
1 Reactions
0 Replies
462 Views
Mbunge wa Nzega Dr Kigwangala ameishauri Serikali ianzishe Mfuko wa kudhibiti Bei za Mazao ya Chakula yaani Price Stabilization Fund Dr Kigwangala amesema dunia inaelekea kwenye njaa na...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanabodi, JF ilipoanzishwa was meant to be the home of Great Thinkers. Hivyo katika mabandiko ya ma GT, they discuss the ideas hawajadili watu, hili ni bandiko kuhusu ideas, hivyo naomba sana...
84 Reactions
426 Replies
42K Views
Naomba nitupie hii kwa CAG kama ilivyo wadau Hello CAG It is my hope that you are doing fine, and I am also terrific. It is a great honour for us and our nation to have you in that office. CAG...
11 Reactions
47 Replies
7K Views
Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa. Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya...
12 Reactions
145 Replies
12K Views
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na...
13 Reactions
77 Replies
7K Views
Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa Jijini Kinshasa tarehe 19 Machi 2023, huku agenda za kujikwamua kiuchumi katika kanda hiyo ya Kusini...
2 Reactions
2 Replies
740 Views
Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Nimeyakumbuka maneno ya Baba wa Taifa aliyoyatoa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakati wa kutoa msamaha kwa wanachuo waliokuwa wamefukuzwa kwa wasiojua, nimesahau mwaka. Nilikuwa shule ya msingi...
17 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom