Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka wa fedha 2020/21 Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kuhusu ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonesha kuimarika...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Imetolewa taarifa na wizara ya Afya na Profesa Tumaini Nagu kuwa huko Bukoba vijijini, katika Kata ya Maruku na Kanyangereko, kumetokea ugonjwa usiojulikana, ambao dalili zake ni kutoka damu...
6 Reactions
78 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 (Bilioni 70) kutoka kwa Barick Gold Mine kwa ajili ya ujenzi madarasa nchi nzima hasa kwa ajili ya Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 watakaoanza...
6 Reactions
75 Replies
4K Views
MBUNGE MHE. SYLVIA FRANCIS SIGULA - "RAIS SAMIA UMETUHESHIMISHA" Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania Mhe. Sylvia Francis Sigula katika maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Siasa nyingine ni za kishamba, kishenzi na Unafiki uliopitiliza Zitto Kabwe Wakati wenzake wanatoka bungeni yeye alibaki na alikumbatiana na Maguful Wakati wenzake wanalalamikia ndege yeye...
2 Reactions
3 Replies
554 Views
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia mapema leo jioni, hii ni baada ya Hotuba kali iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema kuwagusa moja kwa moja wakazi wa mji huo. Mungu...
22 Reactions
75 Replies
5K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la matumizi ya kauli kuumba jambo jema kwa kutumia kitu kinachoitwa affirmation kwa kutumia the power of speech kuumba mema ya kila kinachozungumzwa na rais, hata kiwe...
23 Reactions
181 Replies
18K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuwafariji, watu wote waliokumbwa na bomoa bomoa popote pale bila fidia, japo hiyo bomoa bomoa katika baadhi ya maeneo, imefanyika kwa dhulma kubwa, ikiwemo kupuuzwa...
30 Reactions
90 Replies
21K Views
Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)...
7 Reactions
95 Replies
7K Views
~ Tozo kandamizi. ~ Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani. ~ Maisha kupanda bei, leo hii kula mlo mara mbili ni anasa. Maana maharage tu ni Tsh. 3,000. ~ Kufutia mafisadi makosa huku...
3 Reactions
6 Replies
970 Views
Simaanishi kiongozi asiige ama asiendeleze aliyoyakuta, na kuyafanya sehemu ya mafanikio ya uongozi wake. Wala sisemi kiongozi hapaswi kupokea ushauri wa wasaidizi wake. Muhimu ni wewe unapoingia...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Akijibu swali la mwandishi nguli Aloyce Nyanda aliyetaka kujua Kwanini Lema hakuwatetea Bodaboda wakati akiwa Bungeni ambako alikuwa analipwa tsh 12m kwa mwezi Lema amesema " Siwezi kwenda...
26 Reactions
337 Replies
16K Views
Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu. Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
8 Reactions
90 Replies
8K Views
Hili linaweza lisiwahusu wote bali waishio kwa imani. Kristo alitukanwa, alikashifiwa, alidhalilishwa (fikiria mpaka kuvuliwa nguo), alitemewa mate, na mwishowe aliuawa. Yesu, akiwa katika mateso...
36 Reactions
173 Replies
7K Views
Baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama wa Chama cha Wananchi CUF, Abdul Kambaya, na wanachama 384 kutangaza kujiunga na Chadema. Sasa wawasha moto. Tarehe 23 Februari 2023...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika Wizara ya Kilimo msimu ulipita 2022/2023 kwenye usambazaji wa mbolea hukufanya vizuri. Pia kwenye kugawa pikipiki kwa Maafisa Kilimo mlilolifanya maana jana bado hatujaona impact yake...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Afrika ni bara ambalo mawazo mgando na potofu ya ubora wa mtu kutokana na kabila, ukanda, dini, jinsia na ubaguzi mwingine havijawahi kuondoka kwa sehemu kubwa ya watu wake. Raia wengi bado...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Wadau wa huduma jumuishi za kifedha nchini wamesema diplomasia ya uchumi imeongeza uwekezaji na ukwasi katika benki mbalimbali kutokana na kuongezeka kwa mzunguko wa fedha. wamesema wawekezaji...
0 Reactions
2 Replies
665 Views
BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241 Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa. Nitatoa mfano na sina shaka...
35 Reactions
94 Replies
11K Views
Wakati wa chama kimoja kulikuwa na wapinzani wa kweli ambao hawakuiogopa CCM wala mwalimu Nyerere Na lilipoanza vuguvugu la Katiba Mpya ndipo baba wa taifa akatumia akili kubwa sana ya kuitaka...
1 Reactions
2 Replies
516 Views
Back
Top Bottom