Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,823
- 50,494
CCM wanaposhangaa ni kwa nini CHADEMA hawaandamani dhidi ya utawala wao dhalimu kwa watanzania, huwa najiuliza maswali mengi sana. Jee CCM ingekuwa iko sehemu ya CHADEMA kwa sasa (Yaani kuwa chama cha upinzani) je wao wangeandamana na hoja yao ingekuwa wanataka kuandamana kwa ajili ya nini??
Kwa hali ya sasa ya kisiasa na kiuchumi nchini, CCM wanaona kuna kitu gani kinachofanywa na wao kinachostahili watanzania waandamane kukipinga??
Kwa hali ya sasa ya kisiasa na kiuchumi nchini, CCM wanaona kuna kitu gani kinachofanywa na wao kinachostahili watanzania waandamane kukipinga??