Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,262
- 2,191
Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.
Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.
Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.
Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas? Hii ndiyo Tanzania.