Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,440
113,448
Wanabodi,
JF ilipoanzishwa was meant to be the home of Great Thinkers.
Hivyo katika mabandiko ya ma GT, they discuss the ideas hawajadili watu, hili ni bandiko kuhusu ideas, hivyo naomba sana kusisitiza hapa hatujadili watu na wala tusitajetaje majina yoyote ya watu. Hakuna jina la mtu yoyote lililotajwa kwenye bandiko hili hivyo naomba wachangiaji msitaje jina la mtu yoyote!.

Boeing Zetu ni Ndege Mpya!.
Kitendo cha Tanzania kununua ndege mpya ya Boeing Dreamliner kumeendelea kuibua mambo. Kuna mambo yanasemwa semwa, inawezekana kabisa lisemwalo lipo kama halipo linakuja, pia inawezekana Watanzania ni wazushi tuu, waongo, watu wa majungu na fitna, hivyo vyote vinavyosemwa kuhusu ndege hizi ni uongo tuu na uzushi, ukweli wenyewe halisi ndege hii ni mpya kabisa kutoka kiwandani na ndio maana zimelipiwa cash Kwa bei ya mpya kabisa!.

Baadhi ya Yanayosemwa!.
1. Tanzania ni nchi masikini, hata nchi matajiri zenyewe zenye mihela, hazinunui ndege kwa cash kwa sababu za msingi sana, sasa iweje nchi masikini kama Tanzania ikanunua ndege kwa cash?!.
2. Tumeambiwa ndege tulionunua ni mpya, waongo wanaibuka na kuzusha eti tumeuziwa ndege mitumba ya kiwandani iitwayo TT (Terrible Teen) iliyododa kiwandani kutokana na hitilafu kwenye engine zake, hivyo sasa kuuzwa kwa nusu ya bei, lakini sisi tumeuziwa kwa bei ya mpya!. Hivyo tumepigwa changa la macho na kuna watu wamepiga dili!. Inadaiwa kinachofanyika sasa ni kutupatia tuu engine mpya, na kutufanyia finishing yetu lakini ziliishaundwa zamani na zikadodea kiwandani!.

3. Kwa vile haya ni manunuzi makubwa, Tanzania tunazo taratibu zetu za manunuzi ambazo zilifuatwa na tukafikia maamuzi. Kwa vile jambo kama hili lilitokea kwa Richmond, na kupitia Bunge letu tukufu tulirekebisha mambo, hili suala la ndege sasa linageuka kelele, hivyo tunaliomba Bunge lisikae kimya liingilie kabla!.
4. Kama hata nchi tajiri wenye cash, hawanunui ndege kwa cash kwa ajili ya security issues na guarantee. Masikini sisi Tanzania, tuna haraka gani ya kiasi hicho cha kutake such a big risk?!.
5. Tuelezwe kwa ukweli na uwazi the consequences of the risk tuliochukua ili huko mbeleni yakitokea ya kutokea, tusianze tena kulaumiana na kunyoosheana vidole, tukubaliane kuwa we knew what we were doing and be ready to live with the consequences of our actions.

Tuhuma za Nepotism ya Ajabu.
Kati ya dhambi kubwa na mbaya kabisa kwa taifa lolote duniani ni dhambi ya ubaguzi wa aina yoyote, uwe ukabila udini, jinsia, rangi, hali, ulemavu etc, ubaguzi ni ubaguzi tuu ni unyama!.

Tanzania ya sasa kumeanza kuwepo minong'ono ya chini chini ya ubaguzi wa udini na ukabila wa chini kwa chini! kwa kabila fulani kunyanyaswa huku kabila fulani kupendelewa!. Tuhuma hizi kama hazina uthibitisho, ni tuhuma za kuzipuuzia kabisa kwa nguvu zote, lakini kama zina uthibitisho, sio tuhuma za kuzipuuzia hata kidogo!.

Ikitokea mtu ni mzuri kabisa, mwenye sifa zote, vigezo vyote na uwezo wote wa kushika nafasi fulani, huwezi kuacha kumteua kwa nafasi hiyo eti tuu kwa sababu ni kabila moja au ni dini fulani. Kama sifa za uteuzi ni sifa na vigezo tuu, na sio kabila la mtu, hivyo kwenye uteuzi, tutatea tuu kwa kwa kuangalia sifa na vigezo, na hatuangalii kabila la mtu wala dini ya mtu!. Hata wakitokea wateuliwa wote ni kabila moja na dini moja, let it be!.

Lakini kama ni kweli mtu amemchukua mtu wa kabila lake, hana sifa wala hajakidhi vigezo, kisa tuu ni mtoto wa dada yake kwa kumtoa huko alikomtoa na kumkabidhi madaraka makubwa kama kwa custodian wa hazina yote ya nchi yetu ili ukitaka kuchota ujichotee tuu bila vikwazo vyovyote. Kama hili ni kweli, then this is too much!, hii itakuwa ni nepotism kubwa ya ajabu kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania. Naliomba Bunge letu Tukuf, lisikubali kabisa minon'gono hii kuendelea kuwepo au kitu kama hiki kutendeka katika ardhi ya nchi nchi yetu!. Hili likifanyika, laana ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere itatushukia, itatutafuna, tusipuuze ila pia tusikubali!. Na tusipofanya kitu kwenye hili, kwa vile hii ni dhambi, then mbele ya safari tusije kushangaa mzee karma akaja kuingilia kati akafanya yake!.

Hivyo kama tuhuma hii ya nepotism ya ajabu ni kweli, kisha ikathibitishwa ni kweli zile ndege ni TT, na kuthibitishwa utaratibu wa manunuzi haukufuatwa, na ikathibitishwa ni kweli utaratibu ulisimamiwa na mtu na mjomba mtu, au mtu na mpwawe!, wakachungulia tuu kwenye chungu wakakuta kuna chakula wakajichotea kwa kujipakulia na kujilia!, then for sure, this is not right at all!, mtu huyu atakuwa hatufai kabisa!, kwa sababu matumizi yote ya fedha za umma toka mfuko mkuu wa hazina, yana taratibu zake zake za kufuatwa nazo ni hatua hizi,
  1. Inapangwa bajeti na kuwasilishwa bungeni kujadiliwa.
  2. Bunge linajadili na kuipitisha hiyo bajeti na kuidhinishwa
  3. Kisha bajeti inatungiwa sheria na Bunge ndipo fedha za mfuko mkuu wa hazina ya serikali zitumike.
  4. Na kabla fedha hazijatoka kwenye mfuko mkuu wa hazina ili zitumike, lazima kwanza CAG asaini as a controller, asaini ndipo fedha zitoke, kisha aje akague matumizi yake.
  5. Kama ni kweli huu ununuzi wa ndege kwa cash ni uamuzi wa mtu na mjomba mtu kujiamulia kutumia hazina ya taifa, bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ya matumizi ya fedha za umma, then, this is not right!.
Wito kwa Bunge Letu Tukufu
Ni kazi ya Bunge kuisimamia serikali kupitia "the doctrine of separation of powers and checks and balance", na ikitokea Mkuu wa The Executive ametenda ndivyo sivyo, Bunge ndicho chombo pekee chenye mamlaka ya kumuwajibisha!. Hivyo natoa wito kwa Bunge letu tukufu, kupitia kwa waheshimiwa Wabunge wetu makini ambao ni wawakilishi wetu, kutanguliza mbele maslahi ya taifa, lisizizingatie tuhuma zisizo na uthibitisho, ila pia zipuuzie tuhuma hizi kama zinauthibitisho hata kama ni mdogo tuu kuwa ni kweli fulani ni mtoto wa dada mtu na hana uwezo huo!. This is very serious thing!

Bunge lifanye uchunguzi kuhusu ukweli wa tuhuma hizi, zikithibitishwa, ni uzushi, wazushi hawa wanaozusha hili wachukuliwe hatua kali kabisa za kisheria ili kutoa funzo, lakini zikithibitika zina ukweli, then Bunge letu lifanye "the needful" kwa kuianza ile the due process!.

Labda kitu ambacho mimi sikijui kisheria, ni kuwa ili ile due process kufanyika, hufanywa na Jaji Mkuu, hivyo sijui kama hali hii ya muhimili mmoja kuwa chini ya Kaimu Jaji Mkuu anaweza kutumika kwenye process hiyo!.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja. Inaongozwa kwa mujibu wa Katiba kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni, tuitimie katiba yetu, sheria zetu, taratibu zetu na kanuni zetu kuitawala nchi yetu.

Nawatakia Furahi Dei Njema.
Wasalaam.

Paskali.
 
Sijaelewa hapo kwenye "mtu na mpwa wake au mtu na mjomba wake"! Nini umekusudi hapo?
Kwenye Presidential appointment powers, rais wetu ana mamlaka ya kumtea mtu yoyote katika wadhifa wowote kwa sifa zozote au bila sifa zozote na kwa sababu zozote au bila sababu zozote, na haruhusiwi kuhojiwa na mtu yoyote au mamlaka yoyote.

Katika teuzi hizi kuna nafasi za kisiasa na za kiutendaji. Kwenye teuzi za kisiasa hakuna sifa na vigezo hivyo hata akiwateua watu wote kama kina Bashite, na hata wakitokea kuwa ni dini yake au ni kabila lake, then hakuna tatizo.

Lakini katika teuzi za kiutendaji hapa zinazingatiwa sifa na vigezo na sio dini wala kabila. Ikitokea wote wenye sifa na vigezo ni watu wa dini moja na kabila moja, then let it be, kwa sababu uteuzi hatuangalii dini ya mtu wala kabila la mtu!.

Lakini inapotokea uteuzi wa nafasi fulani nyeti kama custodian wa hazina zetu kisha ukamtafuta mtu wa kabila lako, halafu akawa ni mtoto wa dada yako, halafu kupitia nyie wawili tuu mkajifungia ndani na kupiga dili ya kununua mitumba ya TT kwa cash tena kwa bei ya mpya!. Then hii itakuwa ni too much!. Ndio maana nimesema japo Watanzania ni waongo na wazushi, lakini hili lisipuuziwe!. Ikitokea ikawa ni kweli ni mtu na mjomba mtu na ikitokea kweli zile ndege ni TT, then huu ni ukabila na hii ni dili hivyo, no matter how good anaweza kuwa katika mambo mengine yote, lakini kwa hili kama ni kweli, then mtu huyu hatufai!.

Paskali
 
Boss Pascal Mayalla Ilitakiwa Mtoa Habari, na Mhusika au Wahusika wadhibitishe kwa Ushaidi wa vitendo na si kwa tamko tu.

Wanabodi,
JF ilipoanzishwa was meant to be the home of Great Thinkers.
Hivyo katika mabandiko ya ma GT, they discuss the ideas hawajadili watu, hili ni bandiko kuhusu ideas, hivyo naomba sana tusitajetaje majina yoyote ya watu. Hakuna jina la mtu yoyote lililotajwa kwenye bandiko hili; hivyo naomba wachangiaji msitaje jina la mtu yoyote!.

Boeing Zetu ni Ndege Mpya!.
Kitendo cha Tanzania kununua ndege mpya ya Boeing kumeendelea kuibua mambo. Kuna mambo yanasemwa semwa, inawezekana kabisa lisemwalo lipo kama halipo linakuja, pia inawezekana Watanzania ni wazushi tuu, waongo, watu wa majungu na fitna, hivyo vyote vinavyosemwa kuhusu ndege hii ni uongo tuu na uzushi, ukweli wenyewe halisi ndege hii ni mpya kabisa kutoka kiwandani na ndio maana imelipiwa cash Kwa bei ya mpya kabisa!.

Baadhi ya Yanayosemwa!.
1. Tanzania ni nchi masikini, hata nchi matajiri zenyewe zenye mihela, hazinunui ndege kwa cash kwa sababu za msingi sana, sasa iweje nchi masikini kama Tanzania ikanunua ndege kwa cash?!.
2. Tumeambiwa ndege tulionunua ni mpya, waongo wanaibuka na kuzusha eti tumeuziwa mitumba iitwayo TT iliyododa na kuuzwa kwa nusu ya bei, lakini sisi tumeuziwa kwa bei ya mpya!. Hivyo tumepigwa au kuna watu wamepiga dili!.

3. Kwa vile haya ni manunuzi makubwa, Tanzania tunazo taratibu zetu za manunuzi ambazo zilifuatwa na tukafikia maamuzi. Kwa vile jambo kama hili lilitokea kwa Richmond, na kupitia Bunge letu tukufu tulirekebisha mambo, hili suala la ndege sasa linageuka kelele, hivyo tunaliomba Bunge lisikae kimya liingilie kabla!.

Tuhuma za Nepotism ya Ajabu.

Kati ya dhambi kubwa na mbaya kabisa kwa taifa ni dhambi ya ubaguzi wa kabila au dini.

Kumekuwepo minong'ono ya ubaguzi wa udini na ukabila wa chini kwa chini!. Tuhuma hizi ni tuhuma za kuzipuuzia kwa nguvu zote kabisa!.

Ikitokea mtu ni mzuri kabisa, mwenye sifa zote, vigezo na uwezo wa kushika nafasi fulani, huwezi kuacha kunteua kwa nafasi hiyo eti tuu kwa sababu ni kabila moja au ni dini fulani. Kama sifa za uteuzi ni sifa na vigezo tuu, hatuangalii kabila la mtu wala dini ya mtu!. Hata wakitokea wote wawe wa kabila moja na dini moja, let it be!.

Lakini kama ni kweli mtu amemchukua mtoto wa dada yake kwa kumtoa huko alikomtoa na kumkabidhi hazina ya nchi yetu!. Kama hili ni kweli, then this is too much!, hii itakuwa ni nepotism ya ajabu kabisa!. Naliomba Bunge letu lisikubali kabisa kitu kama hiki kutendeka katika nchi nchi yetu!. Laana ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere itatushukia!. Tusikubali!.

Hivyo kama tuhuma hii ya nepotism ya ajabu ni kweli, kisha ikathibitishwa ni kweli zile ndege ni TT, na kuthibitisha utaratibu wa manunuzi ulisimamiwa ni mtu na mjomba mtu, au mtu na mpwawe!, then for sure mtu huyu hatufai kabisa!.

Wito kwa Bunge Letu Tukufu

Ni kazi ya Bunge kuisimamia serikali kupitia "the doctrine of separation of powers and checks and balance", na ikitokea ni Mkuu wa The Executive ametenda ndivyo sivyo, Bunge ndicho chombo pekee chenye mamlaka ya kumuwajibisha!. Hivyo natoa wito kwa waheshimiwa Wabunge wetu ambao ni wawakilishi wetu, kutanguliza mbele maslahi ya taifa, kupitia kwenye Bunge letu tukufu, lisizipuuzie tuhuma hizi hata kidogo!. This is very serious thing!, Bunge lifanye uchunguzi kuhusu ukweli wa tuhuma hizi, zikithibitishwa, ni uzushi, wazushi hawa wachukuliwe hatua kali, lakini zikithibitika zina ukweli, then Bunge letu lifanye "the needful" kwa kuianza ile the due process.

Labda kitu ambacho mimi sikijui kisheria, ni kuwa ili ile due process kufanyika, hufanywa na Jaji Mkuu, hivyo sijui kama Kaimu Jaji Mkuu anaweza kutumika kwenye process hiyo!.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja. Inaongozwa kwa mujibu wa Katiba kwa kuzingatia sharia, taratibu na kanuni.

Kaka. Pasco. Mm. Yote hiyo. Sina sna shida mm tatizo langu hii ndege ni. Kubwa sana. Kwann tustafute B737-800 new. Vasion. Maana. Sisi. Atcl. Sifikirii kama. Tunawez kufanya ushindani na. Ethiopian nasema hayo kwa upande wa biashar au flight route. Tunakwenda wpi na wapi kubeba abiria na wanakuja kufanya nn hapa kwetu
 
Boss Pascal Mayalla Ilitakiwa Mtoa Habari, na Mhusika au Wahusika wadhibitishe kwa Ushaidi wa vitendo na si kwa tamko tu.
Mkuu Kikarara, serikali ina mkono mrefu, zinapotolewa tuhuma za udini na ukabila, hata kama ni za uongo, sio za kupuuziwa.

Enzi za Mwalimu zinapotolewa tuu, Mwalimu akashituka kwa sababu wakati akiteua haangalii dini ya mtu kwa sababu serikali yetu haina dini!. Na pia haangalii kabila ya mtu kwa sababu hatuteui ili kufanya matambiko!. Lakini baada ya tuhuma hizo hakuzipuuzia, alichunguza!.

Hapa tumelitaka Bunge letu tukufu kuchunguza.

Paskali
 
Kwenye Presidential appointment powers, rais wetu ana mamlaka ya kumtea mtu yoyote katika wadhifa wowote kwa sifa zozote au bila sifa zozote na kwa sababu zozote au bila sababu zozote, na haruhusiwi kuhojiwa na mtu yoyote au mamlaka yoyote.

Katika teuzi hizi kuna nafasi za kisiasa na za kiutendaji. Kwenye teuzi za kisiasa hakuna sifa na vigezo hivyo hata akiwateua watu wote kama kina Bashite, na hata wakitokea kuwa ni dini yake au ni kabila lake, then hakuna tatizo.

Lakini katika teuzi za kiutendaji hapa zinazingatiwa sifa na vigezo na sio dini wala kabila. Ikitokea wote wenye sifa na vigezo ni watu wa dini moja na kabila moja, then let it be, kwa sababu uteuzi hatuangalii dini ya mtu wala kabila la mtu!.

Lakini inapotokea uteuzi wa nafasi fulani nyeti kama custodian wa hazina zetu kisha ukamtafuta mtu wa kabila lako, halafu akawa ni mtoto wa dada yako, halafu kupitia nyie wawili tuu mkajifungia ndani na kupiga dili ya kununua mitumba ya TT kwa cash tena kwa bei ya mpya!. Then hii itakuwa ni too much!. Ndio maana nimesema japo Watanzania ni waongo na wazushi, lakini hili lisipuuziwe!. Ikitokea ikawa ni kweli ni mtu na mjomba mtu na ikitokea kweli zile ndege ni TT, then huu ni ukabila na hii ni dili hivyo, no matter how good anaweza kuwa katika mambo mengine yote, lakini kwa hili kama ni kweli, then mtu huyu hatufai!.

Paskali
ttps://www.theguardian.com/world/2016/aug/26/japans-biggest-airline-grounds-its-dreamliners-over-engine-problem
 
Kuna kashfa ya ukweli hapo kwenye manunuzi ya ndege. Wala siyo uzushi. Utaratibu uliotumika ktk haya manunuzi haukuwa wa wazi; umma haujui kama utaratibu uliowekwa kisheria ulifuatwa. That's a real scandal.

Halafu, kama serikali inachukia uzushi, dawa mojawapo ya uzushi ni kuwa muwazi kwa mambo ambayo hakuna ulazima kuyafanya kwa kificho.
 
Back
Top Bottom