Habari Wana jukwaa.
Kwa Mujibu wa Taarifa ya Kamati ya Sera za Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania BoT,Nchi yetu Sasa Ina kiwango Cha chini kabisa Cha fedha za Kigeni kuwahi kutokea kwa kipindi Cha...
sababu...
1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu
2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.
3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji...
Je, ni kweli kabisa Hayati Magufuli alifanya Kazi kubwa kuwazidi marais wanne waliomtangulia?
Kwa mfano Wengine hawakufanya lakini Yeye amethubutu;
Kuhamishia Makao makuu ya Serikali Dodoma...
Kwa kazi alizozifanya kwa kipindi kifupi hiki kwenye uongozi wake umedhihirisha wazi kuwa ni kiongozi mwenye kipawa Cha hali ya juu Sana, hekima, uchaji Mungu, upendo,, vyote na vingine vingi...
Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM...
Mnabaki kusingizia kitu kisichokuwepo!
Kila mkiambiwa Ukweli wa maovu na uzembe wenu, mnakimbilia Sukuma Gang wewe!
Kila mkianikwa Madhambi na Ufisadi wenu, mnakimbilia Sukuma Gang wewe!
Kila...
Salute, kwa sasa ktk mitandao ya kijamii,kila anayejaribu kulalamikia utawala uliopo kwa ufisadi ,anaitwa sukuma gang!
Anayelalamika ugumu wa maisha na kupanda bei kwa vitu ni Sukuma gang...
Ni swala la muda muda tu , watu wengi wataachishwa kazi kwenye makampuni makubwa, kutokana na kukua kwa teknolojia.
Kuna robot anaye-trend huku mtandaoni , anaitwa ChatGPT. Huyu robot anauwezo wa...
Rais naomba nisianze Kwa kukupongeza Kwa kazi unazozifanya maana Mimi ni miongoni MWA watu wachache tunao amini yakuwa hakuna Rais wa nchi anae ingia ikulu Kwa ajili ya kucheza" mdundiko ngoma ya...
Licha ya uhuru wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa ni mapema sana kusema kwamba hali ya siasa imeshakuwa shwari.
Siasa inayoendelea hivi sasa ni ile ya kuvuta utayari na kuwaaminisha watu kuwa kuna...
Tunaweka kumbukumbu sawa.
Rais Samia alipoingia Madarakani alikuta Makusanyo ya Kodi kutoka TRA ni wastani wa Sh.Trilioni 1.2 Kwa mwezi mwaka 2021 kutoka Wastani wa Shilingi Bilioni 800 Kwa mwezi...
Ufaransa (France) inapokea watalii si chini ya milioni 80 kila mwaka toka kote duniani. Paris ikiwa kitovu cha kupokea watalii husika. Lakini pamoja na wingi huo wa watalii, Ufaransa haina vivutio...
Njoo kwenye hoja.
Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane...
Rais leo hakika umekonga nyoyo za wengi kwa kukabidhi shamba darasa kwa vijana ambapo umefanikisha lengo la kupunguza tatizo la ajira na hata itapelekea kutowesha tishio la njaa nchini na Afrika...
Balozi Polepole anazipokea helikopta mbili toka Tanzania kwenye uwanja wa ndege Chileka Blantyre Malawi, ndege hizi ni kwa ajili ya kutoa msaada wa uokoaji wananchi waliokumbwa na kimbunga Freddy...
Haya sio maneno yangu Wala ya Mwigulu Wala Rais Samia Bali ni ya majarida ya biashara Afrika..
Rais Samia anazidi kujipambanua..
Mataga,sukuma gang na Chadomo karibuni Kwa mapovu..
Nchi Zenye...
Haya Mashirika yaani NGOs za kimataifa zinazo fanya kazi Tanzania zina mifumo dhabiti mno ya kudili na rushwa na kila aina ya Ufisadi. Hata kama bado ufisadi unakuwepo ila ni kwa kiwango cha chini...
Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika...
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.