Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa...
Barrick yatoa Msaada wa dola za Marekani mil.30 sawa na zaidi ya Bil.70 za Tanzania.
Zitatumika Kwa Ajili ya Ujenzi wa
Mabweni 275
Madarasa 1094
Kazi iendelee
Ni angalizo tu kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu kwamba wanamkubali kwa Kiasi anachofanya kutetea haki zao likiwamo hili la Mfumuko wa Bei yaani inflation.
Atazidi kukubalika ila...
Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya...
Lula ilinyoosha mstari barabara,wezi wa mali ya umma hawakuwa na amani hata kidogo,wazembe,wavivu habari waliipata sawasawa, viongozi wababaishaji walipigwa grill vya kutosha
Kiongozi wa sasa...
Niko hapa kushuhudia hili tukio la kujaza maji bwawa la Nyerere, katika yaliyojiri mojawapo ni hili tukio
Njooni tubadilishane uzoefu ya makofi haya mengi japo waliosimangwa kwenye mkutano mkuu...
Kauli hii ilitamkwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, siku wanaccm wazalendo wakichoka dhulma dhidi ya wanaccm maslahi ndipo nchi hii itapona, kwa sasa tuendelee kunywa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo
Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17%...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana na Naibu wake Mhe. Hamis Mwinjuma leo Machi 20, 2023 wamefanya ziara ya kikazi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es...
Siasa ni Sayansi
Kuna aliyewahi kufikiria Bawacha na UWT watakuwa Wamoja?
Au Bavicha na UVCCM?
Au Kamati Kuu ya Chadema na ya CCM?
Leo Bawacha walijaa kwenye Sikukuu ya miaka 2 ya Rais...
Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 03/19 - Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 69/21 Refu Pamoja na Mahafali ya tatu...
Ukiwa neutral Hapa Jf ni rahisi kuona makundi ya Wapambe yanayofanya vizuri na yale yanayofeli
Kwa mfano kundi la Makamanda walamba asali ndio linafanya vizuri hadi sasa Katika kuitetea uongozi...
Niwe muwazi na mkweli.
Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023.
Tumepatwa...
WanaJF,
Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa...
Bravo Madame Presidaa kwa kuhaidi na kutoa sh. 5 M kwa kila goli linalofungwa katika mashindano ya CAF. Beyond reasonable doubt matokeo tumeyaona na timu zetu ziko robo fainali, hii kitu...
Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo.
Kilichonifurahisha leo
ni namna ambavyo siku hiyo...
Naona yanayoendelea kwenye media kuwa jpm alitesa watu hiyo ni dhana ya kiini macho kwenye umma wawatanzania ni kwamba utawala wake alihimiza walipe kodi stahiki na mamlaka ya mapato walikuwa...
Wacha inyeshe tuone panapovuja! Truly kama Taifa tulipita kwenye kipindi kigumu mnoo!! NB; kusema ukweli sio dhambi ingawa wanadamu hawataki kusikia ukweli!
==
"Ninachokiona kuna uwezekano wa Rais...
Watu wengi wamekuwa wakisema nchi za Afrika zina migogoro na vikundi vingi vya waasi sababu ya biashara ya silaha ya mataifa ya nje ambayo yamekuwa yakiuza silaha kwa vikundi vya waasi
Haya ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.