Taifa litakuaje kiuchumi wakati vijana wa kiume wamekazana kutafuta dawa zakunenepesha uume na kuongeza hamu ya ngono badala yakuhangaika kutafuta changamoto mpya kupata fursa za kiuchumi zenye...
Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili.
Kuangalia ufaulu pekee wa...
Wakuu,
Nahisi Jeshi letu la Polisi limenajisiwa. Bora IGP Sirro ajiuzulu kama ameshindwa kuwatetea na kuwalinda Askari wake. Namshauri Sirro awatetea Askari wake Wanyonge kuliko kujipendekeza kwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini...
Katika kusherehekea miaka 2 ya Rais Samia madarakani Msama amerejesha Tamasha la Nyimbo za Injili lijulikanalo kama Tamasha la Pasaka
Msama ameseka kwa Kipindi cha miaka 7 hapakuwepo Tamasha la...
Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country.
Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada...
Baadhi ya Vijana wa BBT wakiwa katika kituo atamizi cha Bihawana jijini Dodoma, wakiendelea na mafunzo ya uandaaji na uzalishaji wa miche! Gharama yote ya mafunzo ikiwa ni pamoja na chakula na...
MKUU WA WILAYA (DC) NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WANENA KUHUSU UMUHIMU WA MFUKO WA JIMBO
Jana, Ijumaa, 24.3.2023, Wakuu wa Shule za Sekondari za Musoma Vijjini, na Bodi zao, walianza kuchukua...
Watanzania wamekaa kiwizi wizi haijalishi ni mapasta, Madre, maaskofu au waamini. Ukitaka kujua Hilo mlemle kanisani dondosha elfu kumi halafu unifanye hujaiona nakwambia hata yule aliyekuwa...
Watumishi wapya wa Mamlaka ya mapato nchini waanza mafunzo elekezi.
Mwaka 2022, TRA iliajiri watumishi wapya zaidi ya 1400. Hadi sasa, Serikali ya awamu ya 6 imetoa vibali vya ajira mpya zaidi...
Mama Janeth Magufuli amemshukuru Rais Samia kwa kuwaunga mkono na kujumuika nao katika misa ya Kumbukizi la hayati Magufuli.
Mama Janeth amesema Rais Samia alituma wawakilishi Wawili mmoja akiwa...
Jumla ya Shilingi 223,917,101,547.11 zimepelekwa Tunduru kusimamia shughuli mbalimbali za maendeleo tangu Machi 2021 - 2023, miaka ambayo serikali ya Tanzania inaongozwa na Rais Samia Suluhu...
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama...
Naomba kuelimishwa. Je, misingi na taratibu za utumishi wa umma zinamruhusu kiongozi kulazimisha watumishi walio chini yake (wizara, idara, kitengo, wakala, taasisi) waende kufanyia semina...
Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo.
Kuna wakati inabidi...
“Kupamba mji kwa mabango hakuleti umoja wala kuondoa uhasama. Katiba Mpya, Mfumo Huru wa Uchaguzi, Tume ya Ukweli, Haki & Upatanishi ndio jibu. Ondoa ukimya juu ya waliotaka kuniua & walioua...
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa taarifa kuhusu mwenendo wa hali ua uwekezaji nchini katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na...
Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.