Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)

Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mlale unono!
Atakuwa amesoma vyema Alama za Nyakati, na atapiga sana hela.... Akiwa serious atifikia Jungu Kuu la Asali.

Azichange vema karata zake.
 
Siku umoja party inaanza rasmi ccm kadi zote nachoma
Walai kwa moyo wangu wote hata niwekewe gobole kwa sasa ccm naichukia sana

Nataman chama kianze niwe hata mwenezi bila kulipwa sent tano au katibu wilaya bila sent moja

Naichukia sana kwa sasa ccm
Nipo kwa sababu upinzani waliopo nao hakuna kitu ni maccm pia
 
Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)

Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Mlale unono!
Una maana ni mmoja wa waanzilishi wa chama, ambaye anashikilia nafasi ya uongozi wa chama?

Dr Mhogo atakuwa na jambo, kama ni kweli!

Anataka kulazimisha watu wamtazame upya, au katika sura mpya?

Wakati hali inavyokuwa kama ilivyo sasa hivi hapa nchini, ombwe linaweza kujazwa na kila aina ya mtu/kundi.

Ina maana kakata tamaa na chama kilichomwezesha kuwa alivyowahi kuwa?

Akiibukia huko kwa hicho chama kipya, hiyo itakuwa ni ishara kubwa ya kwanza kuonyesha ilipokwenda CHADEMA na Mwenyekiti wake.
 
Back
Top Bottom