Uadilifu katika utumishi wa Umma

Uadilifu katika utumishi wa Umma

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Posts
2,976
Reaction score
2,176
Naomba kuelimishwa. Je, misingi na taratibu za utumishi wa umma zinamruhusu kiongozi kulazimisha watumishi walio chini yake (wizara, idara, kitengo, wakala, taasisi) waende kufanyia semina, makongamano au warsha katika wilaya anayotoka. Na hususani wakati wakiwa huko wilayani kwake kuelekeza watumie magari ya kukodi, hoteli/lodge, ukumbi, catering, na huduma zingine za kulipia ambazo ni zake au za washitika wake? Elimu haina mwisho.
 
Si sawa kama atafanya kwa masilahi yake binafsi. Kufanyia semina/warsha/makongamano tsehemu tofauti tofauti na zilizozoeleka mostly mijini huwa na faida nyingi kwa wahusika.

Nimeongea kwa experience yangu maana nilikaa zaidi ya 21 Years kwenye utumishi wa umma.
 
Kushiriki warsha naona ni sahihi ila hayo mengine ni ubinafsi wake.
 
Back
Top Bottom