Mama Janeth Magufuli: Namshukuru Rais Samia kwa kuwatuma Binti yake na Waziiri Bashungwa kujumuika nasi katika Kumbukizi ya hayati Magufuli!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Mama Janeth Magufuli amemshukuru Rais Samia kwa kuwaunga mkono na kujumuika nao katika misa ya Kumbukizi la hayati Magufuli.

Mama Janeth amesema Rais Samia alituma wawakilishi Wawili mmoja akiwa ni binti yake na mwingine Waziiri wa Ulinzi Mh Bashungwa.

Kadhalika mama Janeth amewashukuru wote wenye Mapenzi mema waliojumuika nao kwenye Kumbukizi la hayati Magufuli wakiwemo mababa Askofu.

Sabato Njema!
 
Bi Tozo naona baada ya kubaini kuna siasa nyingi za visasi serikalini kaone afike kwenye msiba kwa ishara.

A very nice gesture kwa upande wake kumtuma binti yake.
 
Mama Janeth Magufuli amemshukuru Rais Samia kwa kuwaunga mkono na kujumuika nao katika misa ya Kumbukizi la hayati Magufuli.

Mama Janeth amesema Rais Samia alituma wawakilishi Wawili mmoja akiwa ni binti yake na mwingine Waziiri wa Ulinzi Mh Bashungwa.

Kadhalika mama Janeth amewashukuru wote wenye Mapenzi mema waliojumuika nao kwenye Kumbukizi la hayati Magufuli wakiwemo mababa Askofu.

Sabato Njema!
Hongera mmbeya namba Moja
 
Back
Top Bottom