Baada ya miaka 7 Msama aibuka tena na Tamasha lake la Pasaka mwaka huu ni maalum kwa Rais Samia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Katika kusherehekea miaka 2 ya Rais Samia madarakani Msama amerejesha Tamasha la Nyimbo za Injili lijulikanalo kama Tamasha la Pasaka

Msama ameseka kwa Kipindi cha miaka 7 hapakuwepo Tamasha la Pasaka

Source Star tv
 
Kama ni kweli juu yake yaliyosemwa na Rose mhando basi huyu jamaa ni ibilisi aliyejificha kwenye dini....huwezi ukawa unafanya uovu namna Ile halafu unaandaa tamasha la dini...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom