Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Igunga Nicholaus George Ngassa, amewataka Wananchi wa Jimbo la Igunga kutembea kifua mbele kwa kuwa Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imejipambanua kushughulikia kero za...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Nchi ni kama shamba, unapo palilia shamba lako, huwezi kuiacha mimea yoote ijotee tu bila mpangalia, kuna mimea mingine inabidi ing'olewe ili kulipa shamba nguvu ya kustawi, pia huwa kuna magugu...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mpango wa Block Farming katika Programu ya Building Better Tomorrow (BBT) eneo la Chinangali...
3 Reactions
161 Replies
13K Views
Kuna wakati nawaza sana kuwa nimo kwenye nchi ambayo sijui kama mimi ni mmiliki wake ama nani ndiye anayeimiliki. Nadharia ziko nyingi lakini sijaona hata moja inayonifanya nijue nani hasa ni...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni. Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano...
15 Reactions
175 Replies
10K Views
Kuna ufafanuzi unaohitajika kwa wanaoyaelewa vizuri haya maswala ya Katiba na sheria. Ni matumaini yangu kwamba baada ya uchangiaji wa mada hii wengi wetu ambao hatuna ufahamu vizuri juu ya mambo...
4 Reactions
12 Replies
943 Views
Kila kiongozi wa juu wa CCM matamanio yake ni kukiacha Chama hiki kikongwe kikiwa hai pindi anapomaliza Muda wake Ni jambo jema Hayati Magufuli naye amekiacha kikiwa Imara sana Mlale unono!
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Asalaam ndugu zangu.. Nianze kumpongeza Rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya. Wamesikilizwa, na ninasikia mchakato karibia utaanza...
12 Reactions
166 Replies
6K Views
Jeneza nje hurembwa kwelikweli kwa nakshi na maua, ndivyo yalivyo majengo ya mahakama. Katikati ya majengo hayo mazuri, Kuna watu wamekaa rumande miaka karibu kumi, kesi zao haziishi, na mahakama...
1 Reactions
4 Replies
829 Views
MBUNGE MHE. FURAHA N. MATONDO AKABIDHI VITI MWENDO 70 KWA WALEMAVU KWA WILAYA ZOTE, MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Mwanza Mhe. Furaha N. Matondo katika ziara yake aliyoifanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa kutoka Dodoma , ambapo Waziri wa Sheria na Katiba Dr Damas Ndumbaro amewaambiwa Wafanyakazi wa Wizara yake na Waandishi wa Habari kwamba Katiba...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
"Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke." Hata hivyo maisha lazima yaendelee. Kutokea kwa majirani zetu: Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu...
21 Reactions
84 Replies
6K Views
Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anesema Arusha kuna Mahabusu wa kesi za Ugaidi ambao wamekaa ndani muda mrefu kwa sababu tu Mahakama haina fedha. Lema anesema yeye na rafiki zake...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba iwe hivyo, isitokee watu wakateuana kutoka kusikojulikana. Kwa kuwa bunge letu kwa sasa halina uwakilishi linganifu wa kisiasa, basi mchakato wa kuwapata wajumbe wa bunge maalumu la katiba...
1 Reactions
11 Replies
789 Views
Salaam Wana JamiiForums, Naanza andiko hili fupi kwa marejeo ya usemi usemao " Myonge Myongeni lakini haki yake mpeni" ni usemi wenye maana Pana kimantiki, Sasa ni miaka miwili ya Rais Samia...
0 Reactions
4 Replies
684 Views
Sisi ni Taifa huru na kubwa kiuchumi na kijeshi ndio maana tumesaidia nchi kama Uturuki na Malawi. Kwa heshima hiyo napendekeza ni Philipo Mpango (Makamu wa Rais) ndiye hadhi ya mwanamsma hiyo na...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Tunapoyaendea mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa na ile ya Uchaguzi mambo muhimu yatapewa kipaumbele yakiwemo Mbunge kuhama Chama na ubunge wake pamoja na kuwepo Mgombea Binafsi Natafakari...
0 Reactions
4 Replies
559 Views
MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina ametumia hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwashukia vikali kikundi cha watu wanaojiita wakosoaji wanaobeza na kukashifu mafanikio ya utawala...
21 Reactions
115 Replies
12K Views
Nianze kwa kutoa salaam na heri za mwaka mpya kwa jamii ya wanajamii forum wote. Baada ya Salaam nirejee kwenye mada husika, Kwa siku za hivi karibuni ajali za barabarani zimekuwa tatizo na kichwa...
1 Reactions
3 Replies
897 Views
Wakuu, Kuna habari picha ambayo inasambaa mitandaoni (hususani Whatsapp) yenye maneno kuwa.. "Serikali imewaomba wakazi wa Kagera walioathirika na tetemeko kujijengea wenyewe kwani michango...
4 Reactions
1K Replies
128K Views
Back
Top Bottom