Ndoto ya Hayati Magufuli imetimia. Sasa Tanzania ni Donor Country

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,362
5,881
Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country.

Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.

Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
 
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Rest well Papa John Pombe Joseph Magufuli
 
Japo Magu aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tz imefanikiwa kuwa a Donor Country.
Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine.
Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.
Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
Yule fisadi!
 
Watoto wanakufa njaa nyumbani unatoa misaada kwa matajiri wa Ulaya?!
 
Hizo fedha zingeweza kuwa ruzuku ya sembe
Huku Dar Bei ya mashineni ni 4000 kg
 
Alikuwa na maono ya mbele zaidi japo kuna nguvu inatumika kuficha mema yake na kufichua mabaya yake pekee.
Mwamba nawe umeshaingia kichwakichwa, nahisi mwenzio yupo katika uwasilishaji wa kifasihi ya hali ya juu sana.

Halafu hii tabia ya kulalamikia wanaojikweza muasisi si yeye mwenyewe au?!!!!! Hivi aliponda mara ngapi na waziwazi ya JK?!!! Tuache unafiki bwana, ndo siasa zilipofikia sasa.
 
Tusisahau pia hii si mara ya kwanza kwa tz kutoa misaada; ilidanya hivyo kipindi cha jk kwa Somalia na hata mkapa (r.i.p) nae aliwahi kutoa misaada. Pili hii misaada haina tafsiri ya 'udonor' bwana.....tuache umbwiga. Hivi tunajua tafsiri ya 'donor country' kweli?!!!! Ndo maana nasema mtoa mada amewasilisha hoja yake kifasihi sana!
 
Mwamba nawe umeshaingia kichwakichwa, nahisi mwenzio yupo katika uwasilishaji wa kifasihi ya hali ya juu sana.

Halafu hii tabia ya kulalamikia wanaojikweza muasisi si yeye mwenyewe au?!!!!! Hivi aliponda mara ngapi na waziwazi ya JK?!!! Tuache unafiki bwana, ndo siasa zilipofikia sasa.
Kosa ni jk au la jpm?. Akina jpm ilibidi watafute mtu aina ya jpm ili kuiokoa ccm.na hakuna kipindi kilikuwa na utawala wa hovyo na wa kipumbavu kama kipindi cha kikwete,nchi ilijaa majizi na mafisadi,watu walikuwa wanabeba hela kwenye magunia.kwa hiyo ilikuwa haikwepeke kuyasema hayo.
 
Sawa kiongozi, wenu hajaiba.......alikuwa mwema balaa!! Kikwete hajafanya lolote nchi hii.
 
Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country.

Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.

Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
Tutembee vifua mbereee 🤣🤣🤣
 
JamiiForums491879381_478x483.jpg
 
Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country.

Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.

Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
Tuendelee na ujenzi wa matundu ya choo Kwa Msaada wa zile za UVIKO.
 
Japo Hayati Magufuli aliwahi kuniudhi kwenye maeneo fulani, lakini leo nimefurahi kwa kuwa Tanzania imefanikiwa kuwa a Donor Country.

Haya yalikuwa ni maono yake kuiwezesha nchi yetu kuwa msaada kwa wengine. Sasa tunaona tukiisaidia Uturuki, Malawi n.k.

Mungu baba wa Mbinguni amuhurumie mja wake huko alipo.
Typical Rubbish
 
Back
Top Bottom