Moja ya Vitu ambavyo Serikali inapaswa kupongeswa navyo katika swala la Elimu ukiachilia mbali miundombinu ya madarasa nk basi huachi kabisa kuipongeza serikali hii inayoongozwa na Dk. Samia...
Hii ni hospital kubwa ya kimataifa inayohudumia watu kutoka maeneo mbalimbali nchini na duniani.
Kwa mujibu wa maelezo, ndio hospital ya mwisho ambapo mgonjwa akishindikana basi anapelekwa nje ya...
Haya ndio matunda ya Ziara ya Rais Samia aliyofanya Nchini Saudi Arabia Mwaka Jana.Hakika Rais Samia Huwa hafanyi ziara za hasara.
Sasa ni masaa 5 tuu kufika Saudia.Hii ndio maana ya kuifungua...
Unashangaa keki ya miti ikoje? Karibu, ungana nami tupige soga.
Katika utamaduni wa kawaida kama tulivyokopa duniani kote kutoka Misri keki zilipoanza kutengenezwa kwa mara ya kwanza, kila...
MHE. LATIFA JUWAKALI ASEMA RAIS SAMIA NI MFANO WA KUIGWA, AMEFANYA MAKUBWA KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI.
Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Mkoa wa Unguja Mhe. Latifa Khamis Juwakali amesema kwa...
Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
===
"Bishop...
Tanzania tuendelee kudumisha amani kwa gharama yoyote kwani yanayotokea nchi jirani kwa akina UhuRuto wote tumeyaona na kuyasikia
Na Nyie Viongozi muwe mnasoma alama za nyakati huu siyo wakati...
Watanzania ni lazima waeleweshwe vizuri. Biashara ya Ndege haina faida. Biashara ya Ndege ya ATC faida yake ni kusaidia biashara nyingine muhimu kama utalii na mizigo kama ya kilimo, Maua na...
Fanya utafiti binafsi kwa Watu wanaotarajia kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa na Wajumbe utagundua wameanza kumsifia sana Hayati Magufuli.
Sijajua kwa uhakika nini kinaendelea lakini Ole...
Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi
Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu leo Machi 28, 2023 jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Meja Jenerali...
Mpaka hapa nimechoka na sina hamu kabisa...yaani nimepotezwa hata sielewi kuhusu mjadala wa UDOM unahusiana na nini. Nakumbuka awali tuliambiwa kuwa wahadhiri wa wanafunzi hao wamegoma hivyo chuo...
Maharage Chande Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco ameitaja miradi itakayowezesha Tanesco kufikisha Megawatt 5,000 za Umeme Mwaka 2025.
Alikuwa akizungumza na Kamati ya Bunge.
---
Mkurugenzi Mtendaji...
MFUMUKO MDOGO WA BEI TANZANIA (LOW INFLATION RATE IN TANZANIA 2023)
Tanzania ni kati ya nchi chache Barani Africa zenye mfumuko mdogo wa bei ukilinganisha na nchi nyingine nyingi zenye mfumuko...
NJIA ZA RELI KUTUMIKA KUZALISHA UMEME WA SOLA
Uswisi inatarajia kuanzisha mradi wa majaribio wa kuzalisha umeme kwa kutumia njia za reli kwa kutandaza mitambo ya paneli za sola katikati ya njia...
DC JOKATE AZURU AFRIKA YA KUSINI KUTANGAZA ZAO LA MKONGE NA BIDHAA ZAKE PAMOJA NA MASUALA YA UHIFADHI WA WANYAMAPORI NA MAZINGIRA - 28-03-2023
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Jokate Mwegelo amezuru...
Hii ni orodha fupi ya baadhi ya viongozi wa Marekani ambao wamewahi kutembelea Tanzania kwa nyakati mbalimbalu.
1. Rais Barack Obama: Aliitembelea Tanzania mwaka 2013 akiwa madarakani na...
MBUNGE MHE. EZRA CHIWELESA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MOJA YA KAMATI BUNGE LA MAZIWA MAKUU.
Tarehe 27 Machi, 2023 umefanyika uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa Kamati za Kudumu za Bunge la Nchi za...
Baada ya Mh. Rais kuzindua tawi la benki ya CRDB la LAPF Dom, sasa TBC1 wako live katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa nyumba za makazi wa Iyumbu, Dodoma.
Anazindua nyumba 150 za mradi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.