RWANDA... mfumuko wa bei hivi sasa ni 20.7%... umepungua kutoka 21.6% Desemba 2022.
KENYA... mfumuko wa bei kwa sasa ni 7.95%... hapo umeongezeka kwa 0.29%... Desemba 2022... mfumuko Kenya...
Waziri na wataalam wake wamepata ugonjwa wa kutumia njia fupi kukusanya mapato bila kuangalia athari hasi kiuchumi, kijamii na kisiasa. Tangu serikali ya awamu ya sita Ianze kazi TRA haijaleta...
Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu.
Sasa hivi...
Dr Slaa siku ya leo jioni akiwa Club house amesema yeye ataendelea kutetea sera nzuri za chama cha CDM kwa kuwa ana uzoefu nao na amekijenga kutoka zero mpaka hapa kinapewa heshima.
Kwa upande...
Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka Serikalini au sekta...
Hapa nchini kumekuwa na fikra kwamba kaskazini kote ni ngome imara ya upinzani kwa majimbo karibu yote ila kwa tunaofahamu vizuri hiyo kanda tuko tofauti kidogo. Ni kweli wapinzani wamesimika...
Inaelekea kuna rushwa nyingi au kutokufahamu wa Serikali kwenye hii Wizara ya Uvuvi. Lakini kuwa wanaofaidika sana na elimu ndogo kwa raia wa Tanzania
Watanzania wakiona samaki wa sato wananunua...
Kila nikimtazama na kumtathmini Kanali Kinana namuona karibu zaidi na Urais kuliko mwanasiasa yeyote yule kwa sasa kwa sababu kuu zifuatazo:
1. Kinana ni mpatanishi kiasili na hata Neno la Mungu...
Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya...
Tunapoiendea Katiba Mpya ya Tanzania tuwe Makini kweli kweli
Nchi jirani Katiba mpya imeruhusu Maandamano na sasa ndio wanatunga sheria ya kuwafidia Watakaoathirika kutokana na Maandamano baada...
Na Bwanku M Bwanku.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema amewaeleza wanahabari kwamba Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imefanya...
Kwa viongozi na watu waliobakia CHADEMA kwasasa hakuna mwenye nguvu na mvuto wa kukipeleka chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kikapata Wabunge 10. CHADEMA inahitaji mtu mwenye nguvu...
Mahakama imesema haijashindwa kusikiliza mashauri ya watuhumiwa wa ugaidi kwa sababu ya kukosa bajeti ya kusafirisha mashahidi na kwamba gharama hizo ziko chini ya Ofisi ya Taifa ya Mwendasha...
Ndugu zangu watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa Sasa Rais Samia Hazuiliki Wala kushikika katika kuliongoza Taifa letu Muhula wa pili, Hakuna kitu unachoweza kusema au kujengea...
Serikali imesema kwenye Bajeti ijayo ya mwaka 2023/24 Itapunguza Kukopa na kuongeza Makusanyo ya Kodi.
Mikopo ya Nje itapungua Kwa Asilimia 30.8% na Mikopo ya Ndani itapungua Kwa Asilimia 23.5%...
Niliwahi kusema hapa JF kwamba katika moja ya mambo ninayowakubali CHADEMA ni kwamba wanajua kutupia pamba kulingana na mazingira tofauti na Lumumba ambao ni bora tu umevaa kijani.
Namuona Raila...
Rafiki wa kweli ni yule anayekusaidia nyakati za shida tena bila kumuomba hapa namzumgumzia Marekani ambao misaada yao imekuwa ikiaminika hapa Tanzania kila mwezi kupitia USAID leo wanamatatizo...
Nimefuatilia utaratibu unaotumiwa na watendaji wanaohudumu kwenye mashirika ya kimataifa na kubaini Kwa hatua za awali mambo yafuatayo;
1. Mashirika haya yanakataa kulipa watu wanaofanya nao kazi...
Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.
Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.