Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Katiba na Sheria ameshapuliza kipyenga cha mchakato wa Katiba Mpya hivyo ni vema tukaanza kuchangia mawazo. Binafsi napendekeza Ruzuku ya vyama vya Siasa iondolewe ili vyama vijifunze...
15 Reactions
129 Replies
4K Views
Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna kipindi Rais Samia alienda Marekani, halafu ikatokea kwamba hajafika Ikulu ya Marekani. Baasi humu mitandaoni akaanza kushambuliwa hasa na watu wa CHADEMA kwamba hajaonana na viongozi wakuu...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Na Bwanku Bwanku. Wakati huu, Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris akitarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania siku ya kesho Jumatano Machi 29, 2023, historia ya mahusiano ya Nchi hizi...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameaandaa Iftari na Dua Maalum ya Watoto Yatima na Wajane kuiombea Nchi na kumuombea Rais...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya...
1 Reactions
5 Replies
808 Views
GENTAMYCINE mapema tu leo nilijua kuwa Taifa Stars itafungwa na nilianzisha Uzi wa Kutahadharisha hapa hapa JamiiForums na nashukuru Wachache mno walinielewa japo Nilifumba. Rais Samia acha...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasilisha taarifa ya majumuisho ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Kutokana na upepo wa kisasa unavyovuma na kupepea, wabunge wa CCM wa mikoa hii ifuatayo wanapaswa wajiandae kisaikolojia: Kilimanjaro. 1) Moshi mjini: CHADEMA 2)Hai:CHADEMA 3)Moshi vijijini...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Yaani nimeshangaa kumbe ndiyo maana hiki kijiji ni maskini na wananchi wa hivi vijiji hawajielewi ikiwemo kijiji cha Mpwayungu. kijiji cha Mpwayungu watu wote ni wanachama wa CCM. CCM imeshika...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Moja ya sifa ya mtu kamili na hususani kwa kiongozi wa umma kama alivyo Spika wa Bunge la JMT ndugu Job Ndugai, ni kutumia busara na hekima katika kufanya maamuzi yake iwe ni kwa kutamka kwa...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka Wabunge wanaofanya safari za kuja na kuondoka Bungeni kwa kutumia Bodaboda kuwa makini zaidi na usafiri huo pamoja na Madereva wanaowabeba...
13 Reactions
127 Replies
11K Views
Pamoja na mvua kunyesha maeneo ya Pwani bado maeneo mengi hakuna maji; it's like kuna mgao zaidi ya mwezi sasa. Ila magari yakuuza maji yanaongezeka mjini that means wapo watu wanahujumu juhudi za...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kwa kujiamini na bila hofu yoyote ile kuwa CCM Inatosha Kuendelea Kuliongoza Taifa Letu Kama chama Tawala,kwa kuwa imeonyesha ushupavu...
3 Reactions
77 Replies
2K Views
Leo tarehe 28 Machi 2023, kikao cha wakuu wa vyama wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kilifanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Wizara ya Mambo ya Nje imesema kampeni iliyoanzishwa na RC Paul Makonda kukabiliana na ushoga ni mawazo yake binafsi na si msimamo wa Serikali TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Wizara ya Mambo ya...
28 Reactions
1K Replies
121K Views
MHANDISI FATMA REMBO - APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA UWT MKOA WA IRINGA Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa 2022-2027 Kutokea Mkoa wa Iringa Ndugu Eng. Fatma Rembo...
0 Reactions
7 Replies
829 Views
Kuja kwa Makamu huyu wa Marekani inatufanya tuwe njia Panda. Hawa wamarekani tunawachukia sana. Makafiri. Sasa tuseme nini? Rais aliyeko madarakani si kafir. Sasa hapo tunashindwa mpongeza na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom