Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Mizinga 100 ya Nyuki (Milioni 10) na Mitungi ya gesi 150 (Milioni 12,750,00) kwa Umoja wa...
Kuna tangazo la kusitishwa kwa safari za train ya abiria safari za Dar - Kigoma kupitia mikoa kadha ya kuelekea bara.
Sababu wanazotoa ni miundo mbinu kuharibiwa na mvua. Swali la kujiuliza ni...
Mtu huvuna alichopanda:
Ukipanda bangi huwezi kuvuna nyanya.
Ni muhimu wanasiasa kujifunza umuhimu wa kutokuwakatisha tamaa wananchi ambao ndiyo mtaji wao.
'Ni wazi hili la kikosi kazi...
1. Hekima ya siasa ni muhimu sana katika uongozi wa taifa au jamii yoyote ile. Hekima hii inahusisha uwezo wa kufikiri kwa makini na kutumia busara katika kutatua matatizo yanayohusiana na utawala...
MBUNGE MHE. SANTIEL KIRUMBA AMEIWEZESHA OLD SHINYANGA VIFAA VYA TEHAMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Eric Kirumba aameiwezesha vifaa vya TEHAMA Shule ya Sekondari Old...
Nchi za Afrika Mashariki zinakabiliwa na hifadhi kubwa ya chanjo za Covid-19 zinazokaribia kuisha muda wake ambazo ilizinunua kwa nguvu kubwa kama yalivyofanya mataifa ya Ulaya kwa ajili ya raia...
Katibu wa CHADEMA kanda ya Kusini , Governor Kaduma na kikosi kaI chake wameendelea kusambaza elimu ya Katiba Mpya ndani ya kanda hiyo .
Hapa ni jimbo la Nyasa , hili ni eneo ambalo miaka ya...
Hakuna neno zuri unaloweza kutumia zaidi ya aibu! Aibu! Aibu! tena aibu kubwa. Serikali kupitia Wizara ya afya imeutangazia Dunia hadharani kuwa ugonjwa wa kula kinyesi cha binadamu (kipindupindu)...
Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga...
Ni kwa maneno na kauli yake mwenyewe Lissu!,kupitia mahojiano na na Clouds360.
Kwamba masaa mawili kabla ya shambulio lake huko Dodoma,amemtuhumu aliyekuwa Rais wa awamu ya tano. Marehemu John...
Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia.
Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila...
Kuna watu wana makasiriko hadi mambo kama haya!! Sasa kuna ubaya gani kwa nchi kusaidia wahanga wa tetemeko? Hivi tumekuwa wabinafsi kiasi gani? Tunasahau kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe na...
Huyu mama ingekua kuna mwenye msimamo anaongoza nchi yetu tungeikataa hii ziara yake. Anakuja kutuchafua tu na mambo yao ya kutuamrisha bila kutuheshimu.
Wao hua wanakaa tu wanapanga tunaenda...
Kwako bwana Mwikwabwe Mwita, kiranja mkuu wa Azania zamani, mwenyekiti wa kitivo cha sayansi UDSM zamani, Rais wa DARUSO zamani, mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa TANGA zamani, mwenyekiti wa Serikali ya...
Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada.
Je, nini kimechangia kushusha...
Nguli huyu wa Diplomasia aliitendea haki Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa kutokana uzoefu uzoefu wake kama Balozi aliyewahi kutuwakilisha huko ughaibuni.
Nakumbuka alikuwa na...
Nawasalimu waTanzania wanaojitambua wale wasiojitambua hawana hadhi na salamu hii.
Nakumbuka wakati raisi wa Zambia anaingia madarakani Haikande Hichelema almaarufu kama “HH”, aliohojiwa na kituo...
Olengurumwa amesikika akiwaambia vyama vya upinzani wasigombee Urais wa Tanzania, na kwamba ushauri wake huo unataka kinyang'anyiro hicho aachiwe Samia Suluhu Hassan, ambaye kwa akili ya...
Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja."
Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja.
Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane...
Jana Machi 27, shamba la familia ya Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta lilivamiwa na uharibifu pamoja na wizi kufanyika. Shambani humo moto mkubwa uliwashwa; miti ya mbao na nguzo ilikatwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.