Sote ni mashahidi kwamba,
hali ya kisiasa nchini hasa baada ya tume ya jaji chande kuwasilisha ripoti yake kwa rais Dr.Samia Suluhu Hassan, tayari kuna kila dalili na mipango kwa hasa hawa vibaka...
Na David Maphone.
Nimemsikiliza Mzee wangu Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba,
kwenye mahojiano yake katika kipindi cha Jenerali Ulimwengu Post kilichorushwa LIVE na THE CHANZO online 11 / 05 /...
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO NDUGU, JOHN MNYIKA, UNAPOTOSHA WATANZANIA.
Na David Maphone.
Nimebahatika kusikiliza vizuri sana, Katibu Mkuu wa chama cha demokrasia na Maendeleo...
Tume ya Uchunguzi imependekeza kuanzishwa kwa mfumo madhubuti wa kufuatilia na kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ili kuzuia uchochezi na uenezi wa habari za uwongo...
Jaji Joseph Sinde Warioba ameyasema hayo kwenye Mahojiano yaliyochapishwa leo 10, Mei 2026 na The Chanzo, ambapo amesema kuwa alikuwa akisikia kuwa wananchi watulie kwa kuwa Serikali imeunda tume...
Kuna wanawake wengi bungeni, lakini wingi wao hauwafanyi kuwa na sauti wala mamlaka juu ya maamuzi yenye tija katika mambo ya msingi yanayolikabili Taifa letu.
Kwa muktadha huo "tokenism"...
Tanzania imemilikisha au kuuza hifadhi za gesi kwa mashirika au kampuni za nje na haina umiliki wa asilimia zozote badala yake wamegewa haki ya kushiriki kupitia TPDC ila hawana umiliki, na baadhi...
https://www.youtube.com/live/9rRDBtpMBqU?si=64FYJTRZAy4diXUs
Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kupitia kwa mtu mmoja tu aitwaye Sisty Nyahoza imeanza tena kutengeneza mwanya wa uwezekano wa...
Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu...
Katika historia ya taifa letu viongozi wanaobeba moyo wa uzalendo wa kweli huendelea kukumbukwa kwa namna walivyoweka mbele maslahi ya wananchi na kulinda heshima ya nchi yao.
Ameendelea...
Na Dr.Zack, Dar es salaam
Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini...
Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo...
Kauli anazoendelea kuzitoa Sheikh Said Mwaipopo kuna wakati zinakuacha mtu ukibaki mdomo wazi, ukijiuliza kama kweli zimefikirika kabla ya kutolewa.
================
Shekhe Said Mwaipopo amesema...
Kwanza maandamano ni haki ya kikatiba hapa nchini. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 20 ya katiba ya JMT
Dunia nzima ilipambana kwa njia ya maandamano ili Mandela afunguliwe.
Najua Watawala wote...
Wanabodi,
Kufuatia kelele zinazoendelea kupigwa na watu mbalimbali, kuitaka Ripoti ya Jaji Chande iwekwe hadharani, kwanza nani niunge mkono hoja ya Vox Populi is Vox Dei, (sauti za watu ni...
1. Rashidi Mfaume Kawawa (1961–1962)
👉 Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika baada ya uhuru.
👉 Alisimamia ujenzi wa misingi ya serikali mpya ya taifa huru.
👉 Anakumbukwa kwa uzalendo, ukakamavu na...
Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu
---
Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.