Wakili Peter Madeleka akiwa kwenye Mjadala wa Kitaifa kuhusu hatma ya Nchi uliofanyika leo Mei 16, 2026 amesema;
"Nchi yetu ipo kwenye msiba. Na kwa mara ya mwisho tangu mwaka 1907... mwaka 2025...
Akizungumza leo Mei 16, 2026, Katika Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa...
Linapokuja swala la Uchaguzi CCM haina Mswalie Mtume, iko Tayari hata kuua (Mifano ni Mingi mno)
Ni vigumu sana kuingia kwenye Uchaguzi nchini Tanzania kwa sheria na Taratibu zilizopo, kila...
Ndugu zangu Watanzania,
Ili Taifa liendelee na kupata Maendeleo ni lazima watu wake wawe na Maarifa, Elimu vichwani mwao pamoja na ujuzi . Siyo Wingi wa Rasilimali ama malighafi unaoipatia...
"Unapozungumzia maendeleo ya nchi iliyopita kwenye mabadiliko makubwa ya kimfumo kama Tanzania, ni rahisi kuanguka kwenye mtego wa kupima mafanikio kwa kutumia mstari mmoja ulionyooka tangu mwaka...
Kwanza Kabisa Bandari ipo Temeke, Uwanja wa Ndege Temeke, Uwanja wa Taifa Temeke. Lakini wamekosa ubunofu wa kukusanya kodi, wanaamua kukudandia ukipark kidogo tu gari inabebwa unapigwa faaini...
𝗟𝗜𝗦𝗦𝗨 𝗡𝗜 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗔𝗕𝗔𝗞𝗜 𝗝𝗘𝗟𝗔 𝗧𝗨
𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗘𝗥𝗜𝗗𝗛𝗜𝗔.
Huyu ni mwalimu wa sheria na anafundisha sheria huko mahakamani na anawafundisha sheria akina Katuga.
Kwa hiyo aendelee kukaa jela tu mbona muda...
Ukweli ni kwamba muda wa regime hii ovu kuanguka haupo mbali.viongozi au watu walioshiriki kufanya maovu hakika wataadhibiwa baada ya hii regime ovu kuanguka na muda huo umeshafika.
Regime mpya...
Thamani ya mauzo ya asali imeongezeka kutoka Sh bilioni 11.4 mwaka 2024 hadi kufikia Sh bilioni 19.2 mwaka 2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68.4.
Mafanikio hayo yanaendelea kuimarisha hadhi ya...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, Othman, leo Mei 16, 2026, jijini Dar es Salaam, akizungumza katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatima ya...
Msajili wa vyama vya siasa, Tekeleza majukumu yako bila shinikizo la kiumbe yoyote nchini au nje ya nchi, Kama CHADEMA inatahili kuadhibiwa kwakufutwa usajili, Basi tekeleza FUTA usisikilize...
Baada ya Zuio la kizushi la shughuli za Chadema kuangukia pua Mahakamani, Natangaza rasmi kuanza kwa Mikutano ya hadhara kwenye Jimbo la Kyela
Hatuna muda wa kupoteza, Wananchi wameongopewa sana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, kwa kauli za Jaji Warioba ni dhahiri kwamba ameshapoteza hadhi ya ujaji ni vema akatangazwa kuwa siyo Jaji tena kwasababu kauli zake zinaondoa hadhi ya ujaji...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza katika mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, Msigwa alifafanua kuwa...
Wana JF, habari za weekend?
Naleta mjadala huu mezani kama mwananchi nisiyefungamana na upande wowote wa kisiasa, lakini nikiwa na mapenzi mema na ya dhati kwa nchi yetu ya Tanzania.
Kumekuwa na...
Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini TAHLISO wameamuakupaza sauti na kusema #NeverAgain kwa machafuko na uharibifu.
Kwa pamoja Tuipende, Tuitunze na Tuilinde nchi yetu.
Mbunge wa Wa Jimbo la Uyole, Mbeya Dkt Tulia Ackson amesema anaweza kuwawakilisha wananchi wake bila kuuliza maswali Bungeni, Tulia ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Jana na Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.