Watu wa karibu na Samia Suluhu Hassan wanapaswa kumshauri kwamba rais si tu kiongozi wa nchi, bali pia ni taswira ya hisia na matumaini ya wananchi. Kuna wakati wananchi hawahitaji hata suluhisho...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka viongozi wa chama na serikali kuepuka kiburi cha madaraka na badala...
Kufuatia uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa miaka mitano wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo uliofanywa na Samia Suluhu Hassan tarehe 16 Juni 2025 mkoani Simiyu Region, Wizara imeendelea kuimarisha...
Malengo ya waasisi wa CHADEMA yalikuwa ni kukijenga chama kwenye misingi imara ya kisiasa nchini kikisimama kama taasisi kuu ya upinzani iliyokusudiwa kutoa ushindani wa kisera na kuwa mbadala wa...
Hii sasa ni Taarifa rasmi kutoka Kanda ya Nyasa
Bilionea Sugu atatoa elimu kuhusu Tume ya Chande n.a. Utekaji yakiwemo na Mauaji
Katika Mkutano huo orodha ya Watu wote Waliouawa Kyela kuanzia...
My friends, ladies and gentlemen,
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026
Mwandishi: "Unadhani ni kwa nini...
Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote.
Wote...
NJIA RAHISI YA KUIFUTA CHADEMA: AANDIKA ASKOFU BAGONZA
Watu wengi uraiani, vijiweni na serikalini wameniuliza nitoe maoni juu ya hatua ya Msajili wa Vyama Vya Siasa kuiandikia barua Chadema...
Anaandika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook
Watu wengi uraiani, vijiweni na serikalini wameniuliza nitoe maoni juu ya hatua ya...
Akiongea kwenye hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa uwanja wa Yanga leo, Mkuu wa Mkoa wa DSM ameitaka Yanga kutoiombea mabaya Simba ili ife bali waombe iendelee kuwepo ushindani uwepo, kasema Yanga...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Njombe, Neema William Mgaya, ameishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kuongeza kasi ya kutafuta masoko mapya ya utalii duniani badala ya kutegemea masoko ya...
Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu.
Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba.
Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi...
Katika zama hizi za AI kama OpenAI ChatGPT, nyie mnampimaje uwezo wa kiongozi wa chama tawala au upinzani? Maana leo hii wote wanaweza kutafuta hoja kali, hotuba nzuri na majibu ya kisomi kupitia...
Ni ajabuWaziri wa katiba na Sheria kutaja jina, eneo, mtu alikokuwa anafanyia kazi na namba ya simu ya mteja anayemuhudumia, haoni kuwa anavunja sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi za mtu.
Au...
Watu wengi wanapozungumzia nguvu ya mabadiliko ya kisiasa huwa wanakimbilia sana kuipa nguvu Generation Z kwa sababu ndiyo wanaonekana zaidi mtandaoni. Lakini ukiangalia kwa undani historia ya...
Baada ya uchaguzi na mijadala ya kisiasa, kulizuka wimbi kubwa la hasira mtandaoni ambapo baadhi ya vijana walitangaza kuwasusia wasanii waliodaiwa kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi. Mitandaoni...
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI.
Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri. Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.