johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 89,849
- 155,709
Ikumbukwe kuwa haikuwa nia ya Dr Slaa kugombea uRais mwaka 2010 bali aliombwa na Mbowe ili kuongeza ushawishi wa kura za majimboni kwa minajiri ya kutengeneza ruzuku kubwa
Ikumbukwe hapa Rais anayetetea nafasi yake akamilishe muhula wa pili huwezi kumshinda kwa kura, hivyo ndivyo ilivyokuwa 2010 na itakavyokuwa 2025
Hivyo basi nafasi ya Dr Slaa kushinda uRais Ilikuwa ni 2015 lakini Chadema wakamfanyia mtumanyongo na kuleta Wagombea wapya kutoka CCM na CUF ambao baada ya Uchaguzi walirudi kwenye vyama vyao
Dunia nzima ingemshangaa Dr Slaa kupanda jukwaani kumpigia kampeni mzee Lowasa ambaye yeye mwenyewe aliwatangazia watanzania kuwa ni fisadi mamba moja
Jiulize Mbowe alitaka Dr Slaa agombee kitu gani tena 2015 ilhali yeye ni Presidential material?
Umewahi kumuona Prof Lipumba, mzee Cheyo, mzee Rungwe au hata maalum Seif akigombea ubunge?
Ni Mbowe na Mrema tu ndio wenye hiyo historia ya kurudi Bungeni baada ya kufeli uchaguzi wa Rais
Kwa sababu hiyo ndio Magufuli akamteua Dr Slaa kuwa balozi nafasi ya juu kuliko mbunge
Sabato njema!