ATCL yatengeneza faida ya $14M, yafuatayo yanasisimua

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Wakati mashirika mengine ya ndege yakiendelea kupata hasara, ATCL imeripotiwa kutengeneza faida ya $14M tangu kufufuliwa kwake, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya rais Magufuli.

ATCL pia imeongeza umiliki wa soko la ndani (Domestic market share) toka 3% kabla ya kupata ndege mpya, hadi 80% sasa hivi, hii inatokana na kufungua "routes" mpya ambazo awali hazikuwepo kutokana na kutokuwepo kwa viwanja vya ndege katika mikoa hiyo.

Taarifa toka uongozi wa ATCL zinasema kwamba, kuanzia mwezi June, 2020, safari za Nairobi zitaanzishwa.
Gooooo Tanzania
 
joto where is the report?

I want to know how you got $14M
I want to know the expenditure of ATCL
I want to know the amount of tax deducted
I want also to know the revenue

N. Profit= Revenues - (Expenditure + tax)

Where are the revenues and expenditure values?
 
It's good you have indicated the formula, now tell us the revenues, expenditure and tax values which brought you to the profit of $14M
Operating Profit = Operating Revenue - Operating Expenditure
This is equal to Net Operating Income (NOI).
NOI/Capital Expenditure = Return on Capital

Need say more.
 
Wakati mashirika mengine ya ndege yakiendelea kupata hasara, ATCL imeripotiwa kutengeneza faida ya $14M tangu kufufuliwa kwake, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya rais Magufuli.

ATCL pia imeongeza umiliki wa soko la ndani (Domestic market share) toka 3% kabla ya kupata ndege mpya, hadi 80% sasa hivi, hii inatokana na kufungua "routes" mpya ambazo awali hazikuwepo kutokana na kutokuwepo kwa viwanja vya ndege katika mikoa hiyo.

Taarifa toka uongozi wa ATCL zinasema kwamba, kuanzia mwezi June, 2020, safari za Nairobi zitaanzishwa.
Gooooo Tanzania

Mpaka mda huu Tanzania imepanda na kushika nafasi ya 4 africa nzima kwa idada ya mapato yatokanayo na watalii: ($2.45B) kwa mwaka: hii ni kutokana na kufufua shirika la ndege kuwezesha safari za moja kwa moja: badala ya kua na stoping points , report here

Similar Discussions

Back
Top Bottom