ATCL ifungwe, ndege zipigwe mnada

ATCL ifungwe, ndege zipigwe mnada

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,590
Reaction score
31,133
Inasikitisha sana,sana sanaaa jinsi hili shirika linatia aibu kwa Dunia hii ambayo hata Rwanda waliokuwa na ndege 1 sasa hivi wametupiga gap.

Nina imani nchi kama zambia na burundi zitatupiku mwaka huu.

ATCL kila mwaka linapata hasara billions and billions of money afu lipo tu. Lifungwe ndege ziuuzwe tujue moja kuwa hatuwezi kuliendesha hili shirika.

Ni aibu mbaya zaidi kusikia shirika la ndege la saud arabia linafanya ubia na Ethopian Airways na Air China kuliwezesha kufikia more than 200 destinations around the world.
 
Naunga mkono hoja, hili shirika ni hasara kubwa kwa nchi.
 
Na TTCL iangaliwe shirika gani limedunaa hata halikui. Hata halijitangazi yaani limebweteka tu
 
Inasikitisha sana,sana sanaaa jinsi hili shirika linatia aibu kwa Dunia hii ambayo hata Rwanda waliokuwa na ndege 1 sasa hivi wametupiga gap.

Nina imani nchi kama zambia na burundi zitatupiku mwaka huu.

ATCL kila mwaka linapata hasara billions and billions of money afu lipo tu.
Lifungwe ndege ziuuzwe tujue moja kuwa hatuwezi kuliendesha hili shirika.

Ni aibu mbaya zaidi kusikia shirika la ndege la saud arabia linafanya ubia na Ethopian Airways na Air China kuliwezesha kufikia more than 200 destinations around the world.
Nilishawaambia watu mara nyingi tu kuwa kupitia ATCL Watanzania tumepigwa na tutaendelea kutwangwa vibaya sana.
 
Back
Top Bottom