Kitu gani alitumia Hayati Magufuli kuzima maandamano ya UKUTA mwaka 2015 tena kwa tamko tu bila hata bunduki kulipuliwa?

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,520
1,910
Salute wakuu, mie mpaka leo ninakuna kichwa, ni kitu gani JPM alitumia kuzima maandamano yaliyokuwa yameitishwa na CHADEMA baada ya uchaguzi wa 2015 maarufu kwa jina la UKUTA?, kipindi kile JPM ndio tu alikuwa ameapishwa, hata baraza la Mawaziri alikuwa bado hajateua. Je ni nguvu gani ya kiupako huyu mwamba alikuwa nayo?.

Nakumbuka kipindi cha kumalizia utawala wa Jakaya Kikwete ilikuwa ni shida ,pamoja na Kikwete kuzuia maandamano lkn yalikuwa yanafanyika,mpaka ikapelekea watu kufa kwa kulipuliwa kwenye mkutano na maandamano Arusha, pia Mwangosi alikufa kwa kulipuliwa pia kwenye maandamano, je kwanini JPM yeye alitoa tamko tu na ukuta ikanywea?,

Je, ukuta walimwogopa JPM au walikuwa wanatingisha kiberiti ili kuona kama kimejaa?

Lkn pia kwanini tamko lake tu lilinyamazisha majambazi waliokuwa wanavamia mpaka mchana?, mpaka Bank na vituo vya polisi vilikuwa vinavamiwa mchana kweupe?,

Hata mauaji ya albino yalikoma!,

Ajali za ovyo ovyo zilikoma,

Je, Alikuwa na upako wa kiutawala kutoka kwa Mungu!?, au ilikuwa ni nini?!.

KARIBUNI, mapovu yanaruhusiwa kwa wale wenye hilka hiyo,na hata wenye afya mbovu za akili,
 
Salute wakuu,mie mpk leo ninakuna kichwa,ni kitu gn jpm alitumia kuzima maandamano yaliyokuwa yameitishw na chadema baada ya uchaguzi w 2015 maarufu kwa jina la UKUTA?, kipindi kile jpm ndio tu alikuw ameapishw,hata baraza la mawaziri alikuw bado hajateuw. Je ni nguvu gn ya kiupako huyu mwamba alikuw nayo?.

Nakumbuka kipindi cha kumalizia utawala wa jakaya kikwete ilikuwa ni shida,pamoja na kikwete kuzuia maandamano lkn yalikuwa yanafanyika,mpk ikapelekea watu kufa kwa kulipuliw kwenye mkutano na maandamano Arusha,pia mwangosi alikufa kwa kilipuliwa pia kwenye maandamano,je kwa nini jpm yeye alitoa tamko tu na ukuta ikanywea?,

Je ukuta walimwogopa jpm au walikuw wanatingisha kiberiti ili kuona kama kimejaa?

Lkn pia kwa nini tamko lake tu lilinyamazisha majambazi waliokuwa wanavamia mpk mchana?, mpk Bank na vituo vya polisi vilikuwa vinavamiwa mchana kweupe?,

Hata mauaji ya albino yalikoma!,

Ajali za hovyo hovyo zilikoma,

Je Alikuwa na upako wa kiutawala kutoka kwa mungu!?, au ilikuwa ni nini?!.

KARIBUNI, mapovu yanaruhusiwa kwa wale wenye hilka hiyo,na hata wenye afya mbovu za akili,
Watanzania wanajielewa sana hawezi kukubali kufanya maandamano ya mtu amejificha Ubelgiji
 
Kuna aliyekuwa anatumia mtutu wa bunduki kumzidi yeye?
Mkuu soma mada uielewa,ndio uchangie,ukuta imeitishw tu baada ya kutangazw jpm kashinda,chadema ikasema tarehe moja itakuw ni siku ya maandamano ya ukuta.niambie kipindi kile bunduki gn alilia ili kuzuia maandamano?
 
Salute wakuu, mie mpaka leo ninakuna kichwa, ni kitu gani JPM alitumia kuzima maandamano yaliyokuwa yameitishwa na CHADEMA baada ya uchaguzi wa 2015 maarufu kwa jina la UKUTA?, kipindi kile JPM ndio tu alikuwa ameapishwa, hata baraza la Mawaziri alikuwa bado hajateua. Je ni nguvu gani ya kiupako huyu mwamba alikuwa nayo?.

Nakumbuka kipindi cha kumalizia utawala wa Jakaya Kikwete ilikuwa ni shida ,pamoja na Kikwete kuzuia maandamano lkn yalikuwa yanafanyika,mpaka ikapelekea watu kufa kwa kulipuliwa kwenye mkutano na maandamano Arusha, pia Mwangosi alikufa kwa kulipuliwa pia kwenye maandamano, je kwanini JPM yeye alitoa tamko tu na ukuta ikanywea?,

Je, ukuta walimwogopa JPM au walikuwa wanatingisha kiberiti ili kuona kama kimejaa?

Lkn pia kwanini tamko lake tu lilinyamazisha majambazi waliokuwa wanavamia mpaka mchana?, mpaka Bank na vituo vya polisi vilikuwa vinavamiwa mchana kweupe?,

Hata mauaji ya albino yalikoma!,

Ajali za ovyo ovyo zilikoma,

Je, Alikuwa na upako wa kiutawala kutoka kwa Mungu!?, au ilikuwa ni nini?!.

KARIBUNI, mapovu yanaruhusiwa kwa wale wenye hilka hiyo,na hata wenye afya mbovu za akili,
Japo nilikuwa kijana mdogo sana hata sijaanza Darasa la kwanza ila kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa kwa bahati mbaya sana ratiba ya maandamano ya UKUTA ziliingilana na ratiba ya kufanya "Fatiki" (usafi) na wale jamaa wa bakabaka bila kusahau barabara zilikuwa ziko "Busy" maana wale jamaa wa wanaovaa kofia nyekundu walikuwa wakipiga "Route March" na mchakamchaka nchi nzima.
Ila pia huenda aliyekabidhiwa jukumu la kufanikisha UKUTA unatokea alikula pesa ya Saruji.
 
Yule alikuwa muoga tu. Hata maandamano ya mange yalimuogooesha sana yaani raisi mzima aogope maandamano ya mitandao hadi kuingia uwanjani kwenye cku ya muungano pale dodoma akiwa amechutama kwenye gari
 
Mkuu soma mada uielewa,ndio uchangie,ukuta imeitishw tu baada ya kutangazw jpm kashinda,chadema ikasema tarehe moja itakuw ni siku ya maandamano ya ukuta.niambie kipindi kile bunduki gn alilia ili kuzuia maandamano?
Walisema jeshi litafanya usafi, meaning angetuma JWTZ sio Polisi. Kingine alisema viongozi wa Chadema wasimame mstari wa mbele wawabomoe!! Means wangeua watu wengi sana siku hiyo!! Sasa why Mbowe apewe lawama kama ilivyokua kwa Akwilina?
 
Salute wakuu, mie mpaka leo ninakuna kichwa, ni kitu gani JPM alitumia kuzima maandamano yaliyokuwa yameitishwa na CHADEMA baada ya uchaguzi wa 2015 maarufu kwa jina la UKUTA?, kipindi kile JPM ndio tu alikuwa ameapishwa, hata baraza la Mawaziri alikuwa bado hajateua. Je ni nguvu gani ya kiupako huyu mwamba alikuwa nayo?.

Nakumbuka kipindi cha kumalizia utawala wa Jakaya Kikwete ilikuwa ni shida ,pamoja na Kikwete kuzuia maandamano lkn yalikuwa yanafanyika,mpaka ikapelekea watu kufa kwa kulipuliwa kwenye mkutano na maandamano Arusha, pia Mwangosi alikufa kwa kulipuliwa pia kwenye maandamano, je kwanini JPM yeye alitoa tamko tu na ukuta ikanywea?,

Je, ukuta walimwogopa JPM au walikuwa wanatingisha kiberiti ili kuona kama kimejaa?

Lkn pia kwanini tamko lake tu lilinyamazisha majambazi waliokuwa wanavamia mpaka mchana?, mpaka Bank na vituo vya polisi vilikuwa vinavamiwa mchana kweupe?,

Hata mauaji ya albino yalikoma!,

Ajali za ovyo ovyo zilikoma,

Je, Alikuwa na upako wa kiutawala kutoka kwa Mungu!?, au ilikuwa ni nini?!.

KARIBUNI, mapovu yanaruhusiwa kwa wale wenye hilka hiyo,na hata wenye afya mbovu za akili,
Upako gani aliokuwa nao jiwe alikuwa anavunja sheria kutumia jeshi kuwatia hofu wananchi kuzuia maandamano kazi inatakiwa ifanywe na polisi na sio jeshi huu ujinga wameurithi baadhi ya wakuu wa mikoa kutumia jkt kuwaondoa machinga maeneo ya mjini
 
Walisema jeshi litafanya usafi, meaning angetuma JWTZ sio Polisi. Kingine alisema viongozi wa Chadema wasimame mstari wa mbele wawabomoe!! Means wangeua watu wengi sana siku hiyo!! Sasa why Mbowe apewe lawama kama ilivyokua kwa Akwilina?
Vp kuhusu majambazi waliokuwa wanavamia bank na vituo vya polisi?, wao waligwaya nn?
 
Upako gani aliokuwa nao jiwe alikuwa anavunja sheria kutumia jeshi kuwatia hofu wananchi kuzuia maandamano kazi inatakiwa ifanywe na polisi na sio jeshi huu ujinga wameurithi baadhi ya wakuu wa mikoa kutumia jkt kuwaondoa machinga maeneo ya mjini
Na majambazi waliokuwa wanavamia bank. Mchana kweupe?, na kuvamia mpk vituo vya polisi kipindi cha kikwete!? Wao waliogopa nn?
 
Vp kuhusu majambazi waliokuwa wanavamia bank na vituo vya polisi?, wao waligwaya nn?
Mkuu sio Tz tu hata Enzi za Idd Amina, Kagame, na Museveni Kulikua hakuna vikundi vya waasi, majambazi, au wapinzani maana dikteta anatumia mbinu hatari. Mfano JPM akisikia jambazi ameteka kituoa basi mnyororo mzima washukiwa unateketezwa Sasa unadhani nani atakubali kurisk. So ni mbinu effective ila Sasa unaua hata wasiohusika rejea mauaji ya kaka yake Wenje, mdogo wake Heche (Kaka yake pia alitumbuliwa), yaani alitumbia mbinu ya "Los Pepes" kwamba unakata mizizi ya mtu kabla hujammaliza kabisa. Mbowe pia walimdhoofisha kwa style hiyo kapoteza Mali, kafiwa na kaka na dada zake almost 4!! So mpaka wanamfikia akaishia kutoroka nchi.

The guy was brutal, so ndio mbinu aliyotumia
 
Back
Top Bottom