Lissu na wasaliti wenzake walikuwa wanakata mkono unaowalisha? Wapoteza mvuto baada ya Magufuli kuondoka

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Tundu Lissu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.

Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu ulivyo kwa wanadamu tulioumbwa kwa mfano wa mwenyezi Mungu tumeumbiwa kusamehe saba Mara sabini kama alivyo Mungu wetu.

Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na uwezo wa kumfanya Lisu chochote wakati wowote yeye alikubali kusingiziwa kwani Rais Magufuli alijua kuwa Lisu hajui alitendalo na ndio maana alichagua kukaa kimya

Magufuli hakuwa mkali hakuwa dikteta ni mtu aliyependa watu wake kwa moyo wake wote aliwahurumia wajane, mahatma, wanyonge

Rais Magufuli aliwatetea waziwazi waliodhulumiwa walioonewa waliodharauliwa alikula na wasiojiweza hakika huyu baba alijawa na huruma na upendo wa Hali ya juu Sana

Tukirudi kwa Lisu na kundi lake la Chadema Maigizo mengi yenye dhihaka na ya uongo wamempakazia Magufuli kisa tu kuwadai kodi ya serikali ambayo siyo mali yao ikawa nongwa

Lissu aitishe Mkutano wa dharula aliombe msamaha Taifa la Tanzania, Familia ndugu na jamaa za Magufuli la sivyo yapo mengi magumu na mazito yatamwandama sana
 
Wacha kuonyesha namna ulivyo MPUMBAVU !! Hata mtoto wa chekechea anjuwa kuwa aliymshambulia Tundu Lissu akiwa bungeni ni Kundi la WASIOJULIKANA wakiongozwa na Makonda kwa amri ya Magufuli.

Ila Mungu amejuwa namna ya kumuumbua mwovu Magufuli, huyo katangulia yeye AHERA
 
Lisu ananfananishwa na lile kundi la nyani liliposhangilia baada ya kusikia kwamba yule mkulima wa shamba la mahindi aliyekuwa anawafukuza kafariki, lakini wakaja juta na kushangaa baada ya msimu uliofuata kuona hakuna mahindi ambayo mkulima aliyefariki alikuwa akiyalima, wakabaki kusaga meno kumbe furaha yao ndio ilikuwa janga lao, walamba asali hawalali kwa amani jinamizi la mkulima linawaandama kila walipo.
 
Lisu ananfananishwa na lile kundi la nyani liliposhangilia baada ya kusikia kwamba yule mkulima wa shamba la mahindi aliyekuwa anawafukuza kafariki, lakini wakaja juta na kushangaa baada ya msimu uliofuata kuona hakuna mahindi ambayo mkulima aliyefariki alikuwa akiyalima, wakabaki kusaga meno kumbe furaha yao ndio ilikuwa janga lao, walamba asali hawalali kwa amani jinamizi la mkulima linawaandama kila walipo.

Yaani Lisu ajute dhalimu kufariki?
 
Yaani haina pointi kabisa yaani kwa uelewa wako mbovu unafikiri nani aliyefanya mchakato mzima wa kumpiga risasi kama sio magufuli? Aliyewaondoa walinzi kwenye nyumba aliyokuwq akiishi lissu ni nani?Jitafakari kabla hujapost
 
Back
Top Bottom