Chama Cha Mapinduzi kinahusika na ubadhirifu huu

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,804
18,531
Tumesikia repoti ya Mdhibiti na Mkaguzu Mkuu wa serikali (CAG) ilivyoweka wazi ubadhirifu wa matrilioni ya fedha za watanzania. Inasikitisha kuona jinsi fedha za maskini wa nchi hii zikitumika vibaya na kuishia matumboni kwa wachache.

Chama tawala kimekuwa kikijinasibu kama msimamizi wa serikali katika kuleta maendeleo ya nchi yetu. Kwa upigaji ulioibuliwa na CAG, watanzania tuchukue hatua dhidi ya CCM kwani wanahusika na ubadhirifu huu.

Kuendelea kushabikia CCM ni kuendelea kutaka kuona madudu ya kiuongozi kila mwaka.
 
Cag ameonyesha namna gani ilani ya ccm inatekerezwa,kiufupi mwenyekiti na msimamizi wa ilani anaupiga mwingi.
 
CCM ni ukoo wa panya; baba mwizi, mama mwizi. kaka mwizi, dada mwizi, babu mwizi, bibi mwizi, mjomba mwizi, shangazi mwizi! By Mh. Nassari
 
Back
Top Bottom