Sijasikia Zitto Kabwe na chama chake wakitangaza uchambuzi wao wa Ripoti ya CAG

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
473
1,448
Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa bahati nzuri report ya CAG ipo kila mwaka na report ya awamu hii yote inagusa utawala wa Samia.

Sijasikisia zito akija na mbwembwe za kuichambua, alichokoment mpaka sasa ni issue ya pesa za pre bargain tu ambayo ipo connected na utawal wa mwendenzake, hili kisiasa lipoje kwa ACT, wao hawajaona madhaifu kwenye report hii ya CAG, wameamua tu ku wave haki yao ya kuchambua report na kushauri, na kwa nini iwe sasa wawe kimya na huko nyuma walikuwa na nyege mno.
 
Enzi ya Magufuli hakusubiri public
Sahihi kwa sababu alikuwa amekabidhiwa yeye! Sasa ili watu wengine waichambue alipeleka bungeni kwa mujibu wa sheria ili nao waipitie.

Sasa Samia amekabidhiwa tunasubiri aipeleke bungeni nasi tupate fursa ya kuiona na kuichambua.
 
Zito hajawahi kutetea maslai ya umma yeye yupo kwa ajiri ya manufaa yake binafsi ni aina ya wanasiasa wanafiki na waongo ongo sana,Mtu anae muamini zitto ni lazima awe na upungufu wa akili.
 
Back
Top Bottom