Hatimaye VP Kamala Harris wa USA ameondoka sasa turudi kwenye Hoja kuu ya Ripoti ya CAG!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Tunakumbushana tu Makamu wa Rais wa Marekani ameondoka hivyo sasa tunaweza kuendelea na mjadala mkuu wa Hoja za CAG na Ripoti yake.

1. Nani waliongeza cha juu kwenye ununuzi wa Ndege?

2. Nani alikopa Benki 5 na kutoroka

3.Ripoti ya Plea bargain

4. ACT Wazalendo na kodi ya Zuio

5. Hasara ya tsh 88 bilioni za mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu

Nk...nk

Jumaa kareem!
 
Tuanze na Plea bargain ya mtakatifu Magufuli.
 
Tunakumbushana tu Makamu wa Rais wa Marekani ameondoka hivyo sasa tunaweza kuendelea na mjadala mkuu wa Hoja za CAG na Ripoti yake.

1. Nani waliongeza cha juu kwenye ununuzi wa Ndege?

2. Nani alikopa Benki 5 na kutoroka

3.Ripoti ya Plea bargain

4. ACT Wazalendo na kodi ya Zuio

5. Hasara ya tsh 88 bilioni za mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu

Nk...nk

Jumaa kareem!

Issue sio nani alifanya nini; maswali ya kitoto unayojiuliza wewe na rais wako. There institutions out there paid big monies through our taxes, to answer those questions.
Nchi hii kuna upumbavu mwingi kuanzia juu mpaka chini. It seems the people we trusted to manage our affairs don’t know their responsibilities. They are lamenting like a dying bat.
 
Hamna mjadala unless tuambiwe hatua za kweli na madhubuti zilizochukuliwa kutokana na madudu yaliyoripotiwa kwenye ripoti 3 za nyuma!

Raisi alisema pesa za Plea Bargain zipo China, CAG hajasema chochote; nani amfanye nini nani?
 
Tunakumbushana tu Makamu wa Rais wa Marekani ameondoka hivyo sasa tunaweza kuendelea na mjadala mkuu wa Hoja za CAG na Ripoti yake.

1. Nani waliongeza cha juu kwenye ununuzi wa Ndege?

2. Nani alikopa Benki 5 na kutoroka

3.Ripoti ya Plea bargain

4. ACT Wazalendo na kodi ya Zuio

5. Hasara ya tsh 88 bilioni za mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu

Nk...nk

Jumaa kareem!
kwa nini tusianzie pale kwenye trillion 1.5 za kwenye ripoti ya 019/2020
 
S
awa wamarekani ziara ya siku 3 wanahesabuje 😄 nikajua anaondoka jmosii
Hawa wamarekani ziara ya siku 3 wanahesabuje 😄 nikajua anaondoka jmosi
Kama kufa na kufufuka kwa yesu,unaambiwa michana mitatu miusiku mitatu,kafa ijumaa kafufuka j2 alfajiri chapu!!..haitimii michana mitatu Wala miusiku miatatu
 
S
awa wamarekani ziara ya siku 3 wanahesabuje 😄 nikajua anaondoka jmosii

Kama kufa na kufufuka kwa yesu,unaambiwa michana mitatu miusiku mitatu,kafa ijumaa kafufuka j2 alfajiri chapu!!..haitimii michana mitatu Wala miusiku miatatu
Kwann umetumia mfano wa yesu 😀 mwache yesu apumzike
 
Back
Top Bottom