Vitendawili vya fedha za plea burgain na fedha zilizotokana na kufungwa au kukwapuliwa huko kwenye maduka ya kubadilisha fedha bado kuteguliwa ingawa zile za Biswalo walau GAG amenusa.
Fedha zilizochukuliwa madukani ni nyingi kuliko za Biswalo maana mfano Arusha mfanyabiashara mmoja tu Laswai alipokonywa zaidi ya 10b.
Hizo hela ziko wapi CAG tusaidie
Fedha zilizochukuliwa madukani ni nyingi kuliko za Biswalo maana mfano Arusha mfanyabiashara mmoja tu Laswai alipokonywa zaidi ya 10b.
Hizo hela ziko wapi CAG tusaidie