Mbunge CHADEMA amlipua Hayati Magufuli bungeni, asema aliua demokrasia

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo.

Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii kuwa hata Mwanamke anaweza kuwa kiongozi kama ilivyo kwa Mwananume

Hata hivyo Aida ameeleza kuwa Rais Samia anapongezwa kwa kukuza Demokrasia lakini je aliyebomoa na kuharibu hiyo demokrasia ni nani, aliyezuia mikutano ya hadhara ni nani ambapo wabung walishangilia pale ilipoondolewa kwa kupiga makofi, hivyo ni vyema Bunge lijue linasimama wapi?

Aida amepongeza kuwa maridhiano yanayoendelea yana afya kwa Taifa ni jukumu la Bunge kufanya kazi na kusimama imara kumsaidia Mheshimiwa Rais bila unafiki

Tazama video kwa urefu:
 
Inasaidia nini kwa leo na mchele mbovu

USSR
 
Huyo naye mjinga
Kama Magufuli aliminya demokrasia yeye aliwezaje kupita kuwa mbunge toka upinzani kupitia upinzani kwenye sanduku la kura?
?
Atueleze kama demokrasia Magufuli kipindi chake haikuwepo atueleze yeye alifanikiwa vipi kuwa mbunge kupitia upinzani.

Magufuli alikuwa hawara yake kuwa Magufuli alinogewa sana na penzi lake na kuamua ampe ubunge au? Alipitaje ubunge? Kama demokrasia haikuwepo ina maana na yeye yuko bunge nje ya demokrasia?.mpuuzi huyo mkubwa Aida
 
Magufuli alikuwa hawara yake kuwa Magufuli alinogewa sana na pension lake na kuamua ampe ubunge au? Alipitaje ubunge? Kama demokrasia haikuwepo ina maana na yeye yuko bunge nje ya demokrasia?.mpuuzi huyo mkubwa Aida

Kwani yeye kutangazwa mshindi ndio dalili kuwa kulikuwa na demokrasia? Au hujui hata jangwani mvua huwa inayesha mara chache?
 
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo.

Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii kuwa hata Mwanamke anaweza kuwa kiongozi kama ilivyo kwa Mwananume

Hata hivyo Aida ameeleza kuwa Rais Samia anapongezwa kwa kukuza Demokrasia lakini je aliyebomoa na kuharibu hiyo demokrasia ni nani, aliyezuia mikutano ya hadhara ni nani ambapo wabung walishangilia pale ilipoondolewa kwa kupiga makofi, hivyo ni vyema Bunge lijue linasimama wapi?

Aida amepongeza kuwa maridhiano yanayoendelea yana afya kwa Taifa ni jukumu la Bunge kufanya kazi na kusimama imara kumsaidia Mheshimiwa Rais bila unafiki

Tazama video kwa urefu:

Mawazo yake yaheshimiwe
 
Mawazo yake yaheshimiwe
Ubunge alipataje kama demokrasia haikuwepo yeye kama mbunge wa upinzani?

Alikuwa hawara wa Magufuli au hawara wa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi wakaamua kumzawadia ubunge kwa penzi alilowapa?

Je ajibu alipita kidemokrasia au alihongwa ubunge na Magufuli sababu alikuwa hawara yake?

Aliwezaje kuwa mbunge wakati demokrasia haikuwepo kipindi cha Magufuli kama anavyodai? Waandishi wa habari nendeni mkakamhoji aliingiaje bungeni na msimuogope kamhojini sana tu

Wekeni kambi kwake
 
Hayo muulize yeye mwenyewe mkuu
 
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo.

Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii kuwa hata Mwanamke anaweza kuwa kiongozi kama ilivyo kwa Mwananume

Hata hivyo Aida ameeleza kuwa Rais Samia anapongezwa kwa kukuza Demokrasia lakini je aliyebomoa na kuharibu hiyo demokrasia ni nani, aliyezuia mikutano ya hadhara ni nani ambapo wabung walishangilia pale ilipoondolewa kwa kupiga makofi, hivyo ni vyema Bunge lijue linasimama wapi?

Aida amepongeza kuwa maridhiano yanayoendelea yana afya kwa Taifa ni jukumu la Bunge kufanya kazi na kusimama imara kumsaidia Mheshimiwa Rais bila unafiki

Tazama video kwa urefu:

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo.

Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii kuwa hata Mwanamke anaweza kuwa kiongozi kama ilivyo kwa Mwananume

Hata hivyo Aida ameeleza kuwa Rais Samia anapongezwa kwa kukuza Demokrasia lakini je aliyebomoa na kuharibu hiyo demokrasia ni nani, aliyezuia mikutano ya hadhara ni nani ambapo wabung walishangilia pale ilipoondolewa kwa kupiga makofi, hivyo ni vyema Bunge lijue linasimama wapi?

Aida amepongeza kuwa maridhiano yanayoendelea yana afya kwa Taifa ni jukumu la Bunge kufanya kazi na kusimama imara kumsaidia Mheshimiwa Rais bila unafiki

Tazama video kwa urefu:

Amemulipua Magufuli akiwa wapi. Na Magufuli mwenyewe anasemaje baada tuhuma hizo?
 
Huyo naye mjinga
Kama Magufuli aliminya demokrasia yeye aliwezaje kupita kuwa mbunge toka upinzani kupitia upinzani kwenye sanduku la kura?
?
Atueleze kama demokrasia Magufuli kipindi chake haikuwepo atueleze yeye alifanikiwa vipi kuwa mbunge kupitia upinzani.

Magufuli alikuwa hawara yake kuwa Magufuli alinogewa sana na penzi lake na kuamua ampe ubunge au? Alipitaje ubunge? Kama demokrasia haikuwepo ina maana na yeye yuko bunge nje ya demokrasia?.mpuuzi huyo mkubwa Aida
Huna akili masta
 
Waandishi wa habari vyombo
Hayo muulize yeye mwenyewe mkuu
Waandishi wa habari wa ndani na nje wamuhoji Aida waweke kambi kwake kuhusu hizo allegations katoa atoe siri za ubunge wake alipataje wakati kipindi kile cha Magufuli demokrasia haikuwepo kama anavyodai

Asichekewe huyo atoe majibu
 
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo.

Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii kuwa hata Mwanamke anaweza kuwa kiongozi kama ilivyo kwa Mwananume

Hata hivyo Aida ameeleza kuwa Rais Samia anapongezwa kwa kukuza Demokrasia lakini je aliyebomoa na kuharibu hiyo demokrasia ni nani, aliyezuia mikutano ya hadhara ni nani ambapo wabung walishangilia pale ilipoondolewa kwa kupiga makofi, hivyo ni vyema Bunge lijue linasimama wapi?

Aida amepongeza kuwa maridhiano yanayoendelea yana afya kwa Taifa ni jukumu la Bunge kufanya kazi na kusimama imara kumsaidia Mheshimiwa Rais bila unafiki

Tazama video kwa urefu:

Acha upotoshaji. CHADEMA haina mbunge. Halafu huyo Kenani ndio alikimbia haraka kwenye kumuapisha Magufuli wakati chama kina pinga matokeo leo utamuitaje mbunge wa CHADEMA. Bahati nzuri sisi Kama chama tumempuuza.
A
 
Back
Top Bottom