Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila mahala watu wanalizwa lakini hili la kulizwa kibabe na mtu kukunja mkwanja iliwaumiza sana wanaChadema
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na waumini waliohudhuria mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran tukufu yaliyoandaliwa na taasisi ya Aisha Sururu Foundation (ASF) jijini Dar...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndio, ni ukweli uliowazi kabisa kuwa asilimia kubwa ya wa TZ ni wajinga. Nyie ni watu musio na shukran, wakati wenzenu wanapambana kuwatete mpk kufikia kuumizwa vibaya na kutaka kuuawa, wengine...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Hii ni rekodi mpya. Ni historia ya kipekee aliyojiwekea Rais Samia na serikali yake mitaani, haijawahi kutokea kiongozi wa kisiasa kuteka mijadala mitaani kupita hata...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Huwa nakaa najiuliza nani alituletea hili balaa maana imefika kipindi unaona kabisa jinsi gani watanzania wanashindwa kujali na kathamini taifa lau zaidi ya umaarufu binafsi wa kiongozi mkubwa wa...
2 Reactions
7 Replies
909 Views
Wakati majirani zetu Kenya na Uganda wakiwa na misimamo tofauti kuhusu vita ya Ukraine na Urusi, ambapo Kenya ilipiga kura kukubaliana na azimio la Russia kusitisha vita na Uganda ikipiga kura ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika kipindi cha miaka mitano sijawahi kuona mjadala mkubwa kuhusu uhamisho au uteuzi wa Mabalozi wetu zaidi ya mjadala wa uhamisho wa balozi Humphrey Polepole. Pongezi zimekuwa nyingi sana...
1 Reactions
4 Replies
919 Views
Watumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote. Mafuta ya kukimbiza Mwenge...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) pamoja na TAKUKURU. Katika ripoti hiyo CAG aliyataja mashirika 14...
10 Reactions
172 Replies
14K Views
WanaJf, Salaam! Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni: (a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa...
4 Reactions
70 Replies
4K Views
Mama Hongera tena hongera sana sana. Ninaamini bado sijachelewa sana kukupongeza kwa kazi kubwa uliofanya ndani ya miaka miwili iliyopita ya kuiongoza nchi yetu kwa uongozi wako uliotukuka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuliamini na kuaminishwa kuwa kilimo ndio UTI wa mgongo wa nchi yetu. Tafadhali Serikali tusiwatie watu wetu maskini mchanga machoni kwa kuchezea kilimo. Wakulima wengi ni hoehae, ambao ni...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Biblia inasema toa kwanza Boriti kwenye jicho lako ndipo utaona Kibanzi kwenye jicho la mwenzako Kuna baadhi ya mambo Watanzania hatuko serious kabisa Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka!
2 Reactions
16 Replies
2K Views
TAARIFA KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) Ufafanuzi kuhusu bidhaa ya Majani ya Chai ya "SAFARI PRIMIUM TEA" @TBS_Tanzania ==== Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Hizi ndiyo lugha ambazo serikali dhwalimu huzielewa. Bila lugha hizi tutasubiri sana kwa madai yetu yote. Kwani imekuwaje hatimaye Ruto na Gachagua...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Naumia saana ninapowasikia watu wanamsifia aliekua raisi wa Tanzania John Magufuli nikikumbuka utawala wake ulivoumiza watu bora wakae kimya Wengi wanamkimbuka wanasema sijui kajenga madaraja...
23 Reactions
103 Replies
5K Views
Salaam, Nimefuatilia hotuba nyingi za kiongozi mkuu Nchi mara nyingi analalamika sana kuhusu watu walio chini yake lakini hachukui hatua madhubuti yeye ni kulalamika tu sijui shida ni nini...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kada zenye watumishi wa umma wenye kutoa huduma maeneo ya vijijini mfano afya,elimu na kilimo,kada hizi zinaongoza Kwa watumishi hao kulala chumba kimoja, kutokana na ukosefu wa nyumba za...
1 Reactions
6 Replies
762 Views
Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimefanya uchambuzi wangu kuhusu mradi mkubwa wa magari yaendayo haraka (DART) unavyokimbia kwenye awamu zingine Jijini Dar es Salaam. Wote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Gregory J.Mahanju; Kimekua ni kilio cha muda mrefu sana toka kwa wananchi wa jimbo la Singida Magharibi kuomba ufafanuzi na mchanganuo wa Matumizi ya pesa za mfuko wa jimbo lakini wamekua...
1 Reactions
9 Replies
997 Views
Back
Top Bottom