Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,193
6,381
Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli

Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa na mjumbe wa kamati ya MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA.

Ningependa kusikia historia ya safari yake iwe hamasa pia kwa wabunge wanawake kusomea fani ambazo zinaonekana kuwa ngumu au sizopendwa na wanawake, kutoka Geita mpaka Dar es Salaam mpaka kufikia kuwa Ubunge. Mwenza wake alikuwa nani?
20230406_011054.jpg

images (20).jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom