Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote...
SHUJAA wa vita vya kagera ..maj general mwita chacha marwa amefariki dunia akiwa kwenye matibabu ...huko south afrika...kamanda huyu shupavu ndiye aliyekuwa wa kwanza kuingiza majeshi yetu...
Heshima kwenu wakurungwa.
Katika kipindi cha miaka 8 iliyopita katika nchi yetu pendwa ya Tanzania kwa maana ya awamu ya 5 na ya 6 tumeshuhudia viongozi mbalimbali wakiteuliwa na mamalaka, hasa...
Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Mhe. Justin Lazaro Nyamoga alifanya ziara katika jimbo lake Wilaya ya Kilolo kwa Kata za Masisiwe, Kijiji cha Masege Kata ya Ng’uruhe, na Kata ya Nyalumbu ambapo...
Kama hawa Wakuu wa Wilaya ndio walikuwa Wanaoa hadi kujukuu Katika Wilaya Hiyo Hiyo
Sijajua siku hizi ni katiba imebadilika au ni upungufu wa Maadili kwa Wateuliwa maana Teuzi hazikauki...
Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu...
Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro.
Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha...
Lengo ni kuwaaminisha ngozi nyeupe kuwa tuna demokrasia ya ushindani ya vyama vya siasa ili tupewe ma misaada ya hapa na pale maisha yasonge.
Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa...
Msingi wa vyama vyote siasa Duniani umezaliwa ubavuni mwa vyama vya wafanyakazi. Kwa sababu kundi la vyama vya wafanyakazi wote wanakua wamesoma na werevu, ndio kundi la kwanza kuona ukandamizaji...
Natamani kujua kwa undani nini hasa kinawndelea juu ya katiba mpya maana kila kukicha tuko pale pale tunab8shana tu kwa kua tunajuana sana. Mimi nadhani katiba mpya itakua chachu pale tu chama...
Nawauliza Wahenga wenzangu tuliokuwa wapenzi wa Gazeti la Sani na kile kitabu pendwa cha Kipigo Cha Dunia
Kwa huo mtiririko hamuoni yule Mgombea anayependelea kuvaa kofia ya Prof Ndumilakuwili...
Huyu mama amakuwa katika Cabinet muda sasa. Lakini wizara ambazo ameziongoza ni zile ambazo haziko mainstream, yaani hazitajwi siku hadi siku.
Lakini nilipoona uteuzi wa ma DC unakataliwa na...
Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameainisha miradi ya Elimu na Afya ambayo imefanyika jimboni kwake huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kuna watu wanafoka kuhusu mambo yasiyopendeza, mambo yasiyo ya kimaadili, mambo ya dhambi. Na kwao fikra zao ni kuwa kukiwa na adhabu kali mambo hayo yataisha.
Niwaulizeni, Kuna nchi yoyote...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na waumini waliohudhuria mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran tukufu yaliyoandaliwa na taasisi ya Aisha Sururu Foundation (ASF) jijini Dar...
Ndio, ni ukweli uliowazi kabisa kuwa asilimia kubwa ya wa TZ ni wajinga.
Nyie ni watu musio na shukran, wakati wenzenu wanapambana kuwatete mpk kufikia kuumizwa vibaya na kutaka kuuawa, wengine...
Ndugu zangu watanzania,
Hii ni rekodi mpya. Ni historia ya kipekee aliyojiwekea Rais Samia na serikali yake mitaani, haijawahi kutokea kiongozi wa kisiasa kuteka mijadala mitaani kupita hata...
Huwa nakaa najiuliza nani alituletea hili balaa maana imefika kipindi unaona kabisa jinsi gani watanzania wanashindwa kujali na kathamini taifa lau zaidi ya umaarufu binafsi wa kiongozi mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.