Ratiba ya Mkutano wa 11 wa Bunge (Mkutano wa Bajeti), Aprili 4- Juni 30, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuanza Mkutano wa 11 ambao ni wa Bajeti kuanzia Aprili 4, hadi Juni 30, 2023.

Katika Mkutano huo, Maswali mbalimbali yataulizwa pamoja na Hotuba za Bajeti za Wizara Mbalimbali.

Pia, mijadala kuhusu taarifa ya hali ya uchumi, Mjadala kuhitimishwa na Upigaji wa kura ya Bajeti pamoja na Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka, 2023 (The Finance Bill, 2023) itasomwa.


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA





BUNGE LA TANZANIA




RATIBA YA MKUTANO WA KUMI NA MOJA WA BUNGE
(MKUTANO WA BAJETI)


TAREHE 04 APRILI – 30 JUNI, 2023








OFISI YA BUNGE
DODOMA
RATIBA YA MKUTANO WA KUMI NA MOJA WA BUNGE
(MKUTANO WA BAJETI)

TAREHE 04 APRILI – 30 JUNI, 2023
______________

NA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
IDADI YA SIKU
1.
JUMANNE
04/04/2023​
Taarifa ya Spika

Maswali

Uchaguzi wa Wenyeviti wa Bunge
Siku 1​
2.
JUMATANO – ALHAMISI
05/04/2023 -13/04/2023

Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU:

SERA, BUNGE NA URATIBU

KAZI, VIJANA, AJIRA NA WATU WENYE ULEMAVU
Siku 5​
3.
IJUMAA
07/04/2023
IJUMAA KUU NA KUMBUKUMBU YA KARUME
Siku 1
4.
JUMATATU
10/04/2023
JUMATATU YA PASAKA
Siku 1
5.
IJUMAA - JUMANNE
14/04/2023 - 18/04/2023
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS (TAMISEMI)
Siku 3​
6.
JUMATANO - ALHAMISI
19/04/2023 - 20/04/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA UTUMISHI
WA UMMA NA UTAWALA BORA)​
Siku 2​

NA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
IDADI YA SIKU
7.IJUMAA - JUMAMOSI 21-22/04/2023SIKUKUU YA EID EL FITRI
Siku 2​
8.
JUMATATU
24/04/2023
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA)
Siku 1​
9.
JUMANNE
25/04/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
Siku 1​
10.
JUMATANO
26/04/2023​
SIKUKUU YA MUUNGANO
Siku 1​
11. ALHAMISI - IJUMAA
27/04/2023 - 28/04/2023
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
MADINI
Siku 2
12.
JUMATATU
01/05/2023​
MEI MOSI
Siku 1​
13.
JUMANNE - JUMATANO
02/05/2023 - 03/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
MIFUGO NA UVUVI
Siku 2​
14.
ALHAMISI - IJUMAA
04/05/2023 - 05/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
UWEKEZAJI, VIWANDA NA
BIASHARA
Siku 2​

NA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
IDADI YA SIKU
15.
JUMATATU - JUMANNE
08/05/2023 - 09/05/2023
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
KILIMO
Siku 2​
16.
JUMATANO - ALHAMISI 10/05/2023 - 11/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI
Siku 2​
17.
IJUMAA NA JUMATATU
12/05/2023 NA 15/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
AFYA
Siku 2
18.
JUMANNE - JUMATANO
16/05/2023 - 17/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Siku 2​
19.
ALHAMISI
18/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM
Siku 1​
20.
IJUMAA
19/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
HABARI, MAWASILIANO NA
TEKNOLOJIA YA HABARI
Siku 1​
21.
JUMATATU - JUMANNE
22/05/2023 - 23/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
Siku 2​
22.
JUMATANO
24/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Siku 1

NA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
IDADI YA SIKU
23.
ALHAMISI - IJUMAA
25/05/2023 - 26/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
Siku 2​
24.
JUMATATU
29/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Siku 1​
25.
JUMANNE
30/05/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI
Siku 1​
26.
JUMATANO - ALHAMISI
31/05/2023 - 01/06/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA NISHATI
Siku 2​
27.
IJUMAA NA JUMATATU
02/06/2023 NA 05/06/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Siku 2​
28.
JUMANNE
06/06/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
Siku 1​
29.
JUMATANO
07/06/2023​
Maswali

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA
FEDHA NA MIPANGO
Siku 1​

NA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
IDADI YA SIKU
30.
ALHAMISI - JUMATANO
08/06/2023 - 14/06/2023



Maswali

Serikali kwa kushauriana na Kamati ya Bajeti Kufanya Majumuisho kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili Bajeti za
Wizara [Kanuni ya 124 (1)]
Siku 6​
31.
ALHAMISI
15/06/2023


Saa 4:30 Asubuhi



Saa 10:00 Jioni
Maswali



WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO KUSOMA TAARIFA YA HALI YA
UCHUMI

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO KUSOMA HOTUBA YA BAJETI YA
SERIKALI
Siku 1
32.
IJUMAA
16/06/2023​
Wabunge Kusoma na kutafakari Hotuba ya
Bajeti
Siku 1​
33.
JUMATATU - JUMANNE
19/06/2023 - 27/06/2023






v Jumanne - 27/06/2023​
Maswali

MJADALA KUHUSU: -

Taarifa ya Hali ya Uchumi

Hotuba ya Bajeti ya Serikali

Mjadala kuhitimishwa na Upigaji wa kura ya Bajeti

Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi wa Mwaka 2023 (The
Appropriation Bill, 2023)
Siku 7​
NA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
IDADI YA SIKU
34.
JUMATANO
28/06/2023​
SIKUKUU YA EID AL HAJJ
Siku 1​
35.
ALHAMISI
29/06/2023​
Maswali

Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka, 2023 (The Finance Bill, 2023)
Siku 1​
36.
IJUMAA
30/06/2023​
(i) Maswali

(iii) Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka, 2023 (The Finance Bill, 2023)


HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE

Siku 1​
 

Attachments

  • RATIBA MKUTANO WA BAJETI - 2023 - FINAL (1).pdf
    359.7 KB · Views: 6
Bunge la hovyo kuwahi kutokea, limejaa laana ya wizi wa haki za watz kuchagua na kuchaguliwa
 
Back
Top Bottom