Ipo siku Rais Samia atamchoka Mdude

Ipo siku Rais Samia atamchoka Mdude

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,218
Reaction score
28,928
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana, huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake, kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe .

Huyu mama siku akimchoka Mdude mjue ndio mwisho hatapiga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana.

USSR

20230403_204705.jpg

​
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana


USSR View attachment 2575483
Mmejizoesha sifa za kinafiki, hadi mkisikia lugha ngumu mnaishia kuchanganyikiwa, na kuanza kufikiria kuteka tu.
 
Mama alishasemaa kilaaa mtu ale urefu wa kamba yakee..

Hata ww uliyeandikaa hapaa ukipewa huo urais utaweza maliza mattz ya nchi na kumridhisha Kila mwananchi ..

Kama upo mahali unaingiza mia mia mbili shukuru MUNGU maana upo Kwa kusudi lakee na haupo Kwa KUSUDI LA MAMA SAMIA ...
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana


USSR View attachment 2575483
Kimyakimya sana kufanyaje??
 
Back
Top Bottom