Hatimaye Rais Samia, ameguswa na maombi ya wana CCM na tarehe 15/2/2023 atamwachia rasmi aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, kwani kusameheana kupo.
Kwenye mizani Sabaya na Mbowe...
Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za...
Freeman Mbowe huwa anahubiri mambo ya kusema kweli na maridhiano wakati yeye si mkweli na hatabiriki misimamo yake kwani anauwezo wa kubadili gia angani haraka sana ili mradi kuwe na pesa mbele...
Hivi unajua vijana wangapi wako wanaozea jela mbalimbali nchini Uganda kwa kupigania matokeo ya uchaguzi Uganda! Walioumizwa , kuteswa,kutekwa na kufungwa .
Unajua vijana wangapi kenya...
Hapa Tanzania mwendo ni kumtukana na kumsimanga Magufuli na kisha, kuendelea kufurahia Asali....
Yanayotokea Tanzania kwa sasa, ingekuwa ni Kenya hakuna jiwe lingeachwa bila kufunuliwa!
Tanzania...
Mbunge wa Tabora Kaskazini, Mh. Athuman Maige ameitaka serikali kufanya utafiti wa kina kuhusu lugha ya kufundishia nchini Tanzania. Mbunge huyo amesema "Ziko tafiti zaidi ya 40 zimefanyika na...
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara akiwa Ibadani amempongeza sana Rais Samia kwa kutompa nafasi VP Kamalla Harris wa Marekani kuzungumzia mambo ya Mapenzi ya Jinsia moja katika Ardhi ya Tanzania...
Kati ya wizara ilokosa maono na mwelekeo wa kimkakati ni wizara ya Mali Asili na utalii. Pamoja na kuwa wazito katika kukabiliana na majanga kama moto na uharibifu wa mindo mbinu hifadhini bado...
Wanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM.
Huu ni uthibitisho...
Tafadhali Mod's JF, msitekeleze agizo la kibibi wa mjengoni,kama wanasema Demokrasia na waiache itamalaki basi!
Hizi warning zinazoanza kutolewa Ndani ya Bunge sio sahihi kwa wakati husika na kwa...
Gazeti la Jamhuri limeendelea kutaja majina ya wauza unga wiki hii likija na majina na matatu na makazi ya wahusika. Wapo waliotajwa kwa namba za magari yao.
Yapo majina 240, wako wahusika...
MSHAHARA WA WABUNGE HAUENDANI NA WANACHOKIFANYA BUNGENI.
Na Thadei Ole Mushi.
Ukiangalia Mshahara wa Mbunge na anachokifanya Bungeni vinatia Hasira Sometimes…
Twende Sawa
Rais Magufuli ndiye...
Tatizo la ajira kwa Vijana ni tatizo la dunia nzima kwa sasa, tatizo hili linachangiwa pia na hali ya uchumi wa dunia kwa sasa, licha ya jitihada za Serikali inayoongozwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya...
Leo eti kuna wabunge na baadhi ya wanasiasa wanalalamika ununuzi wa ndege ya mizigo !.Nini wasichokijua Takukuru walishawahi kusema wamefungwa mikono.
CAG naye kafungwa mikono, hao mafisadi sio...
Spika mstaafu Anna Makinda amesema amekaa bungeni kwa miaka 40 na kufanya Kazi na viongozi wa aina na Tabia mbalimbali lakini hayati Magufuli hatamsahau kwa Utukuka wake kwa yale aliyoyaamini na...
Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI imeeleza kuwa katika mwaka wa fedha 2023/24 imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 8.75b kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya 20 katika...
Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.
Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.
Huwezi...
Nimekuwa nikisikia hili jina la utani kwa mwanasiasa fulani. Sijajua kalengwa nani. Namaanisha hili jina la utani kabatizwa nani? Ongea kwa code usitaje jina moja kwa moja.
Ndugu zangu watanzania,
Kwa Sasa watanzania hawana Imani kabisa na upinzani na wapinzani,hawawaamini wapinzani kwa kuwa wameona ni watu waliokosa msimamo, vigeu geu,njaa Kali, hawawaamini kwa...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 4, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 1.
MABASI KUTEMBEA KWA SAA 24
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson...