Leo eti kuna wabunge na baadhi ya wanasiasa wanalalamika ununuzi wa ndege ya mizigo !.Nini wasichokijua Takukuru walishawahi kusema wamefungwa mikono.
CAG naye kafungwa mikono, hao mafisadi sio watu wadogo hata kidogo, kazi ya CAG ni kutazama ufisadi na kusema, TAKUKURU inabidi waombe kibali cha kuwachunguza na kuwapeleka mahakamani kutoka kwa DPP, DPP ataangalia kama ataona inafaa atatoa kibali Kwa TAKUKURU waendele, wametengeneza mfumo wa kulindana.
Mafisadi wanafahamu mfumo wa nchi hii Ni vigumu kushitakiwa kirahisi ndio maana Kila kukicha wanaiba fedha za umma.
Ni wanene kuliko bunge .waacheni wanyonye maziwa ya mama Tanzania sisi wengine tutakunywa uji na maziwa ya kopo.
NAAMURU MAISHA YAENDELEE