voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Tafadhali Mod's JF, msitekeleze agizo la kibibi wa mjengoni,kama wanasema Demokrasia na waiache itamalaki basi!
Hizi warning zinazoanza kutolewa Ndani ya Bunge sio sahihi kwa wakati husika na kwa yanayoendelea nchini, hususan upotevu wa pesa za walipa kodi.
Wao watunze Hansard zao mjengoni na huku JamiiForums tunatunza za kwetu!
Je, mwamba kapelekwa Cuba sababu ni kwamba 2025 inakaribia au?
Sijamtaja mtu hapo,ila nimetaja matukio!