Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Arusha mjini anesema zamani haya mambo walikuwa wakifanyiwa Wabunge wa Upinzani lakini sasa anafanyiwa.yeye Gambo anesema viongozi wa CCM Wilaya na mkoa wa Arusha wamekuwa wakimtenda...
23 Reactions
68 Replies
4K Views
Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea...
28 Reactions
151 Replies
7K Views
Hii imetokea leo na hapa nakubaliana na mwigulu kuwa shida sio yeye wala wakuu wa taasisi wala watu wa mauzo shida ipo ikulu na shida ni rais mwenyewe. Kwa wafugaji wa ng'ombe wanajua kubwa huu...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, David Abel amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuomba na kupokea Rushwa ya Sh100,000...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mpaka sasa wezi wa mabilioni ya shilingi za watanzania wapo uraiani wanajipongeza kuibia watanzania. Watu wanaiba mabilioni ya shilingi halafu Rais anatukana, badala achukue hatua za KUWAACHISHA...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii nchi huwa na sema ina wajinga kiwango ambacho hakitamalaki, nchi imejaa vihiyo, Sisi raia wajinga hatuna muda wala hatuna uchungu na upigaji wa pesa sisi concern yetu ni yanga na Simba tu...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni Katika baadhi ya mitandao hasa twitter wale wababe wa kumkejeli na kumsimanga marehemu Maguful sasa waparurana Wenyewe kwa wenyewe na kutoleana siri Wamo CHAWA, Mawaziri na KC wa Chama Kimoja...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Fedha yakuhudumia vyura iliwasilishwa Bunge la bajeti na ikapitishwa Kwa kishindo na wabunge tena Kwa sifa kedekede. Leo TANESCO wamefanya matumizi wabunge wale wale waliopitisha hizo fedha...
3 Reactions
1 Replies
949 Views
Baada ya Ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani kumalizika nchini Tanzania , Kazi ya kusambaza moto wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi inaendelea . Safari hii ni zamu ya Songea Mjini , ambako...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi ya ajabu sana kwani watu wote mil.61 wanashangaa report ya CAG, cha ajabu zaidi hata chama kilichopo madarakani kinashangaa na wenye dhamana ya kuzuia ufisadi uliotajwa katika...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani. Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika ripoti ya ukaguzi wa CAG imeeleza kuwa Aprili 2022 kwa mujibu wa ripoti hiyo, Wizara ya Afya iliingia mkataba na kampuni ya Zenj Motors wa ununuzi wa magari 12 ya wagonjwa yenye thamani ya...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Mteule ni nani? Mteule ni mtu fulani aliyeaminiwa na mteua au kiongozi wa mamlaka fulani ili amsaidie kwa uaminifu katika shughuli za uangalizi, utendaji kuwa mkweli kwa mteua, kumshauri kwa kile...
2 Reactions
14 Replies
599 Views
Sijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa...
21 Reactions
69 Replies
4K Views
Huyo ni kada mwaminifu na mtiifu wa ccm labda kuliko wote kwa sasa ndani ya ccm. Anasema ccm kumejaa fitina na majungu mengi ili kulinda nafasi za wahusika. Kama Wasira amekiri huo uchafu ndani...
10 Reactions
79 Replies
5K Views
May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
"Arusha inahitaji kumulikwa, kuna mambo mengi ya chini chini yanaendelea, wameungana (viongozi wa CCM na serikali) kunipiga vita, mimi nitaendelea kuwatumikia wananchi na kujenga heshima...
3 Reactions
7 Replies
838 Views
MBUNGE NGASSA: "VIJANA TUTUMIE FURSA ZA ASILI ZILIZOPO KWENYE KATA ZETU" "...Vijana wenzagu nimerudi Jimboni kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri...
0 Reactions
1 Replies
539 Views
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Eng Justin Rujomba Tarehe 7.7.2022 amesaini Mkataba wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction wenye thamani ya TZS...
14 Reactions
161 Replies
16K Views
Back
Top Bottom