USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,219
- 28,932
Hii imetokea leo na hapa nakubaliana na mwigulu kuwa shida sio yeye wala wakuu wa taasisi wala watu wa mauzo shida ipo ikulu na shida ni rais mwenyewe.
Kwa wafugaji wa ng'ombe wanajua kubwa huu ni upigaji mkubwa ng'ombe gani wa milioni 2.3 hapa Tanzania hata wale wa Kikwete high breed tena kutoka Denmark walikuwa 1.5 leo unachukua hizo chotara kwa 2.3 , ufisadi wa wazi kabisa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app