Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,308
- 289,271
Baada ya Ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani kumalizika nchini Tanzania , Kazi ya kusambaza moto wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi inaendelea .
Safari hii ni zamu ya Songea Mjini , ambako inatarajiwa lundo la Makamanda watafundisha Jukwaani Somo la Umuhimu wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi .
Taarifa kamili hii hapa .
View attachment 2572973