Mrisho Gambo ndio mhasisi wa siasa za chuki Arusha

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
1,124
Reaction score
2,673
"Arusha inahitaji kumulikwa, kuna mambo mengi ya chini chini yanaendelea, wameungana (viongozi wa CCM na serikali) kunipiga vita, mimi nitaendelea kuwatumikia wananchi na kujenga heshima niliyopewa na chama chetu pamoja na wananchi, nitafanya kazi bila woga wote" Mrisho Gambo,…

Karma inamtafuna ilivyofamanyia Lema
 
Jamaa ni 'wakuja' Chugga hajui lolote la maana za siasa za jiji, na safari hii mbeleko ya Uchwara haipo tena.
 
Mh Mbunge ungepunguza KULALAMA na tumia muda wako mwingi kutatua kero za wapiga kura wako.

Moja ya kero ni hii barabara ya Kijenge- Mwanama -Engutoto..barabara hii imaliziwe kuwekewa lami toka hapo Kona hadi huku Viwandani Engutoto kwani imekuwa chanzo cha kukosekana kwa magari mazuri na imara kwa ajili ya abiria waishio kata hii ya Oleriani..

Ni jambo la kawaida kabisa kwa muda wa asubuhi na jioni abiria kukaa vituoni saa 1-2 wakisubiri gari..Hii imekuwa ikisababisha watu kuchelewa maofisini,wanafunzi kuchelewa mashuleni na wagonjwa kuchelewa hospitalini

Pia inasababisha kuongezeka kwa gharama za USAFIRI kwa wananchi, ambapo baadhi huamua kupanda bodaboda hadi njia ya MOSHONO-MJINI ilikupata usafiri ambapo huwalazimu kulipa zaidi ya Tsh 1500/=

Mwisho, njia hii ya Kijenge - Mwanama- Engutoto ndio njia pekee ambayo hizi Bajaj zinazuiwa kutoa HUDUMA kwa wananchi licha ya changamoto ya ukosefu wa vihiace..kuna WAHUNI wameanzisha serikali yao,kazi yao ni kuwazuia waendeaha Bajaji wote wanaopita njia hii..wanabarrier yao hapa Darajani mita chache toka lilipo TAWI la CRDB Kijenge
Nikuombe dhibiti WAHUNI hawa ili Bajaj ziweza hudumia wananchi wa ukanda huu wanaoteseka na huduma mbovu kabisa ya usafiri

Mwisho kabisa..hivi kwanini lami ya njia ya PEPSI -PPF -Mwanama kona iliishia ndani ya hizo nyumba PPF Kijenge..hawa wananchi wanaokaa mbele huku hadi kilipo Kituo cha Afya Moshono wao ndio hawastahili kupata huduma ya LAMI?..
 
Yupo kila siku kulalama
 
"Arusha inahitaji kumulikwa, kuna mambo mengi ya chini chini yanaendelea, wameungana (viongozi wa CCM na serikali) kunipiga vita, mimi nitaendelea kuwatumikia wananchi na kujenga heshima niliyopewa na chama chetu pamoja na wananchi, nitafanya kazi bila woga wote" Mrisho Gambo,…

Karma inamtafuna ilivyofamanyia Lema
Kila ubaya utalipwa
 
Back
Top Bottom