Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,278
Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!

Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule

Huyu JPM anayesemwa kuwa ni mwizi,

JPM hana nyumba Ughaibuni kama wenzake! Hana hotel yoyote, hana mashamba na wala uwekezaji wowote ule nchini na nje Nchi!

Huo uwizi unaodaiwa kufanywa na yeye, alipeleka wapi na kwenye uwekezaji upi zaidi ya madaraja makubwa nchini na miundombinu mingine?

Leo tumeanza kupata mawaziri wanaohonga penzi kwa gharama ya M400+, hii ni nini kama siyo upigaji wa kodi zetu! Mawaziri kama hao, JPM kuwatimua kwenye ulaji, wasimseme vibaya kweli?

Tuna miaka miwili sasa mwamba hayupo! Je, ni lini sasa tutaambiwa alikoficha/alikopeleka hizo 1.5tr, ambazo zimesemwa na zimeendelea kusemwa kuwa alikwapua?

CAG, badala ya kuja na ubadhirifu wa manunuzi ya ndege kipindi cha JPM zinazokuwa zikidaiwa kuwa kuna ufisadi mkubwa, badala yake kaja na ubadhirifu ununuzi wa ndege ya mizigo iliyotolewa tenda kutengenezwa juzi tu na Rais aliyepo sasa,

Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!
 
Oooh👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20230329-151117.png
    Screenshot_20230329-151117.png
    113.6 KB · Views: 5
Ukitaka kuishi maisha marefu ktk nchi hii inaitwa Tanzania basi usitake Sana kujua yanayoendelea ndani ya Hiyo nchi.

Wenye mamlaka ya kuchukua hatua na kuwajibisha nao wanalalamika pamoja na wananchi.

CCM Ni mduara wa wizi/ujambazi uliotukuka.

Hao tunaotaka Rais awachukulie hatua Ni wenzake ndani ya chama na serikali. NANI AMFUNGE PAKA KENGELE?

Rais yeye ni msafi? Hapigi madili? Km anapiga si anapiga na Hawa Hawa tunaotaka wachukuliwe hatua?

Rais Ni mwanasiasa, hadharani anaweza kufika ndani wataenda kukaa na kuona namna ya kuzima Moto.

Tatizo la Tanzania au mfumo, Wala siasa zetu, tatizo la Tanzania Ni Watanzania wenyewe.

Ktk watu zaidi ya milioni 60,marehemu Ni karibia milioni 50.Walio hai Ni wachache. Sisi Ni taifa la wafu, watu wasiohoji, watu wasiochukua hatua. Hatujitambui.
 
Nashauri Tusitumie jina la Tanganyika tena bali tuitwa DANGANYIKA
 
Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!

Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule

Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!

Tunahitaji kubadili mifumo yetu ili tupate mifumo imara na si watu wa kutisha wenzao.

JPM nae alinufaika vizuri tu na mifumo hii iliyooza! Walioenda kinyume naye ndo aliwasulubu. Lakini uozo kumbe hakuumaliza!

Sasa tumpate mtu mwingine imara asimamie uozo au tupate mifumo imara iondoe uozo!?

Hilo ni swali si lazima ujibu leo!
 
Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
29/03, 16:16
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule

Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!
Magufuli angekuwepo, two things would have happened;
1. Either ripoti isingesomwa au ingeletwa nyingine;
2. Kama ingesomwa kama ilivyosomwa, Bwana Charles Kichere yangemkuta ya Prof Assad

Tofauti ni kwamba ukiwa handle hawa watuhumiwa bila kufuata taratibu, huwezi kuwafunga.

Wote ambao Jiwe aliwaswaga rumande kabala ya "preliminary investigation" waliishia kuishi rumande hadi alipokufa.

Na alipokufa wametoka wako huru.

Ripoti ya CAG siyo kila alichokisema ni UFISADI. Bali zingine zinahitaji majibu toka kwa accounting officers.

Kwa hiyo hiyo ripoti itakapokuwa public, kuna cut off time ya accounting officers kutoa majibu ya hoja zao. Zile ambazo hatakuwa ameridhika nazo ndiyo sasa inabidi zifanyiwe kazi na vyombo husika kama TAKUKURU etc
 
Back
Top Bottom