Maajabu haya !! Hawana peace of mind na hawataipata maadam hawatendi haki katika nyadhifa zao !! “ No peace of mind = No peace in life “Karma !!Tanzania ni NCHI ya AJABU sana kwani WATU wote Mil.61 Wanashangaa REPORT ya CAG cha AJABU zaidi hata CHAMA kilichopo MADARAKANI kinashangaa na Wenye DHAMANA ya KUZUIA Ufisadi uliotajwa katika REPORT ya CAG nao WANASHANGAA hiyo ndio TANZANIAView attachment 2579509
Kwani wakati wa Magufuli kuna mtu aliwajibishwa kwa ajili ya ripoti chafu. Tukumbushe..... Binafsi sikumbuki yeyote zaidi ya CAG mwenyewe kutumbuliwa.Sasa napata picha kwanini Hayati Magufuli alikuwa mkali kama pilipili..............................
Bila kuwashikia mjeledi wabongo watakuangusha........,.............................
Duh 🙄 !Watanzania ni ma Ng'ombe yanayo swagwa wala hayajui yanapo pelekwa ni kupelekwa msobe msobe tu....
Shithole country.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwani uvccm humu na wafia chama wanasemaje? Au mtoto wa panya always ni mtoto wa panya!!Tanzania ni NCHI ya AJABU sana kwani WATU wote Mil.61 Wanashangaa REPORT ya CAG cha AJABU zaidi hata CHAMA kilichopo MADARAKANI kinashangaa na Wenye DHAMANA ya KUZUIA Ufisadi uliotajwa katika REPORT ya CAG nao WANASHANGAA hiyo ndio TANZANIAView attachment 2579509
Waseme nini zaidi ya kukaa kimya kama panya aliye sikia sauti ya pakaKwani uvccm humu na wafia chama wanasemaje? Au mtoto wa panya always ni mtoto wa panya!!
Sija zungumzia kuwajibika bali nimemaanisha jinsi baadhi ya watendaji wasio waadilifu na wazalendo wanavyo mkwaza Rais.Kwani wakati wa Magufuli kuna mtu aliwajibishwa kwa ajili ya ripoti chafu. Tukumbushe..... Binafsi sikumbuki yeyote zaidi ya CAG mwenyewe kutumbuliwa.
Wezi wa hizo hela itakuwa ni wakenyaTanzania ni NCHI ya AJABU sana kwani WATU wote Mil.61 Wanashangaa REPORT ya CAG cha AJABU zaidi hata CHAMA kilichopo MADARAKANI kinashangaa na Wenye DHAMANA ya KUZUIA Ufisadi uliotajwa katika REPORT ya CAG nao WANASHANGAA hiyo ndio TANZANIAView attachment 2579509
Nchi ya mazombi hii
Aha a haa Ngoja walitizame kwanza....."STUPID HAWA"Watupishe!!
Hahaha
Hatari sana,hongera Kwa waliofanikiwa kuhama nchi,kweli mazuzu ndo tutasalia,mie hata ninaemdai 100 namfahamu,iweje bil.21 asijulikane anaedaiwa?Kwa aina ya kiongozi tuliyenaye tumeshapigwa,hapa napata majibu kwanini Kuna kundi lilishangilia sana kifo Cha magu.
Sasa napata picha kwanini Hayati Magufuli alikuwa mkali kama pilipili..............................
Bila kuwashikia mjeledi wabongo watakuangusha........,.............................