Kwamba wabunge walipitisha bajeti ya kulisha Vura USA na Leo wanajifanya Wana uchungu na upotevu wa Fedha za umma? Stupid

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
875
4,101
Fedha yakuhudumia vyura iliwasilishwa Bunge la bajeti na ikapitishwa Kwa kishindo na wabunge tena Kwa sifa kedekede.

Leo TANESCO wamefanya matumizi wabunge wale wale waliopitisha hizo fedha wanashangaa na kujifanya Wana uchungu.....huu ni uzuzu.

Kama walikuwa Wana uchungu wangekataa kuzipitisha. Lakini pia hata bajeti ya mwaka huu kuna madudu na watapitisha Kwa kishindo na Kauli zao za kejeli kwamba usipopitisha usiombe umeme wala maji.....

Wabunge wetu NI janga la Taifa....usikute hata wao wamewahi kwenda Marekani Kwa kutumia hizo fedha kwenda kuwasalimia vyura
 
Fedha yakuhudumia vyura iliwasilishwa Bunge la bajeti na ikapitishwa Kwa kishindo na wabunge tena Kwa sifa kedekede.

Leo TANESCO wamefanya matumizi wabunge wale wale waliopitisha hizo fedha wanashangaa na kujifanya Wana uchungu.....huu ni uzuzu...
Chupidi Kabisa hawa wahuni

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom