Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Naomba kuuliza swali... Kuna watu wapo juu ya sheria? Leo tarehe 6 March asubuhi kulikuwa na zoezi la kubomoa nyumba zilizojengwa kiholela katika kata ya Kizota...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kimeingia Mjini Songea na kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara uliohudhuriwa na mamia ya wananchi . Chama hicho kilitumia fursa hiyo kutoa elimu kuhusu...
3 Reactions
7 Replies
922 Views
Demokrasia inahusu wengi kupewa. Hata hivyo ni busara zaidi walio sahihi kupewa: Kaguzi za CAG zinazofanyika miaka nenda rudi bila hatua zozote za maana kuchukuliwa ni za nini? Ya nini...
8 Reactions
73 Replies
4K Views
WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI? Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua...
3 Reactions
2 Replies
545 Views
Kila uchwao ni kilio cha maisha magumu ambacho hutoka kwa mnyonge kwenda kwa mtawala. Dhamana ya kilio hiki anayo mtawala ambaye ana matakwa ya kutatua ama kutokuitatua changamoto husika kutokana...
1 Reactions
0 Replies
423 Views
Kitendo cha kufikishwa mahakama ya ICC huko The Hague imekuwa ni muarobaini kwao. Kufuatila vurugu za maandamano ambayo kimsingi yapo kisheria kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya Kenya. Imekuwa...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
MHE. JANEJELLY JAMES NTATE MBUNGE WA VITI MAALUM ANAYEWAKILISHA WAFANYAKAZI NCHINI AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI MKUU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti Mkuu na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ulibaini kuwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lilikuwa na madeni ya Sh21 bilioni ambayo uongozi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mfumo wa kupiga kura na uhesabuji kura nchini Tanzania hauko sawa na haukubaliki, kuna haja ya kubadili mfumo huu wa sasa wa kupiga kula na kutengeneza mfumo mpya wa kupiga kura. Tutoke analog...
1 Reactions
1 Replies
467 Views
Duniani hakuna nchi kubwa iliyopuuza uzalishaji wa chuma na ikaendelea. Nchi karibu zote za kiafrika zipo hohehahe sababu mojawapo ni kupuuza uzalishaji wa chuma. Kwa sasa(Pamoja na kusema tupo...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Nimeona mjadala wa bungeni leo YouTube, namna ambavyo spika Tulia anahangaika kuwaridhisha wabunge. Spika anaacha hoja ya msingi ya waziri kuwa Malipo tatami lazima yapelekwe kwa mwenye serikali...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimefuatilia sana Bunge hili na kugundua lipo nyuma sana kwa mahitaji ya sasa. Serikali imejitahidi sana kubadilisha mambo mengi kuanzia mazingira ya biashara, utalii, miradi, Kilimo, siasa na...
0 Reactions
5 Replies
553 Views
Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa mfano ACT Wazalendo, CUF na NCCR Mageuzi wanaonekana Wana malengo ya Muda mrefu Hata Mrema wa TLP alijitahidi kwa kiwango Chake Unapokuwa na chama ambacho ofisi ni Kota ya vyumba 4 na...
0 Reactions
6 Replies
500 Views
Katika mchezo wa siasa unahitaji kuwa na akili nyingi sana kushinda "game". Lakini akili ya kwanza ni kumsoma, kumfahamu, kumwelewa aliyeketi kwenye kiti cha "executive" anawaza nini, nini hulka...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwigulu huyu huyu juzi bungeni amesema mikutano ya hadhara iliyoruhusiwa ni takwa la wafadhili ili tupate mikopo ya MCC na tayari tutaanza kupokea mikopo hiyo...wakati watanzania wote walijua...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Kwa kawaida mtu akiona mwenzake anapiga pesa bila buguza kila mtu hutamani kupiga. Na akipita nafasi huwa hataki kuiachia na aliyeko nje huwa anataka aingia kwa nguvu. Kwa sasa CCM kuna...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunaanza kwa kutoa shukrani nyingi sana kwa Serikali yetu inayoongozwa vizuri na Rais wetu, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan. Kata 2 zilizokuwa zimeachwa kwenye Mradi wa Tsh Bilioni 71.5 wa Maji ya...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Ripoti ya CAG itaendelea kuwa Stori zisizo na funzo lolote Kwa Sababu wezi wamegundua kwamba ukiwa na pesa hakuna wakukuchukulia hatua. Wanasiasa wote walioiba na waliobambikiwa kesi wapo uraia...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
1-Kuingia Ikulu× 2-Kujenga ofisi makao makuu× 3-Kujenga chama cha kisiasa× 4-Kuwafikia wananchi mashinani× 5-Kujenga uongozi wa kitaasisi× 6-Uadilifu katika matumizi ya ruzuku× 7-Kutumia kwa...
1 Reactions
9 Replies
517 Views
Back
Top Bottom