Gambo: CCM hali si shwari mimi nachukuliwa kama Mbunge wa Upinzani na viongozi wa CCM Wilaya na mkoa, haya mambo si Sawa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Mbunge wa Arusha mjini anesema zamani haya mambo walikuwa wakifanyiwa Wabunge wa Upinzani lakini sasa anafanyiwa.yeye

Gambo anesema viongozi wa CCM Wilaya na mkoa wa Arusha wamekuwa wakimtenda kana kwamba yeye ni Mbunge wa Upinzani na Hii si Sawa kabisa

Source Jambo TV

Tundu Lisu: Mkitumaliza Sisi mtaanzana Wenyewe kwa Wenyewe!
 
Kama walipokuwa wanafanyiwa wapinzani aliona Sawa basi na kwake aone Sawa tu.
 
Mbunge wa Arusha mjini anesema zamani haya mambo walikuwa wakifanyiwa Wabunge wa Upinzani lakini sasa anafanyiwa.yeye

Gambo anesema viongozi wa CCM Wilaya na mkoa wa Arusha wamekuwa wakimtenda kana kwamba yeye ni Mbunge wa Upinzani na Hii si Sawa kabisa

Source Jambo TV

Tundu Lisu: Mkitumaliza Sisi mtaanzana Wenyewe kwa Wenyewe!
hata hivo wamemvumilia sana kukaa nafasi ya LEMA kwa muda
 
Mbunge wa Arusha mjini anesema zamani haya mambo walikuwa wakifanyiwa Wabunge wa Upinzani lakini sasa anafanyiwa.yeye

Gambo anesema viongozi wa CCM Wilaya na mkoa wa Arusha wamekuwa wakimtenda kana kwamba yeye ni Mbunge wa Upinzani na Hii si Sawa kabisa

Source Jambo TV

Tundu Lisu: Mkitumaliza Sisi mtaanzana Wenyewe kwa Wenyewe!
Kwani hakuna wenzake wa kuungana nao mpaka atoke kujitangaza
 
Mbunge wa Arusha mjini anesema zamani haya mambo walikuwa wakifanyiwa Wabunge wa Upinzani lakini sasa anafanyiwa.yeye

Gambo anesema viongozi wa CCM Wilaya na mkoa wa Arusha wamekuwa wakimtenda kana kwamba yeye ni Mbunge wa Upinzani na Hii si Sawa kabisa

Source Jambo TV

Tundu Lisu: Mkitumaliza Sisi mtaanzana Wenyewe kwa Wenyewe!
Kuchukuliwa kama Mpinzani ni heshima kubwa sana, maana unaonekana una kitu kichwani, kuliko wao walipokua wakiwachukulia Wapinzani kama waasi tena zaidi ya waasi, waliwachukulia kama wavamizi wanaoivuruga nchi.
 
Mbunge wa Arusha mjini anesema zamani haya mambo walikuwa wakifanyiwa Wabunge wa Upinzani lakini sasa anafanyiwa.yeye

Gambo anesema viongozi wa CCM Wilaya na mkoa wa Arusha wamekuwa wakimtenda kana kwamba yeye ni Mbunge wa Upinzani na Hii si Sawa kabisa

Source Jambo TV

Tundu Lisu: Mkitumaliza Sisi mtaanzana Wenyewe kwa Wenyewe!
Masikini 😪😪genge lote wanataka kulisafisha!!
 
Mbunge wa Arusha mjini anesema zamani haya mambo walikuwa wakifanyiwa Wabunge wa Upinzani lakini sasa anafanyiwa.yeye

Gambo anesema viongozi wa CCM Wilaya na mkoa wa Arusha wamekuwa wakimtenda kana kwamba yeye ni Mbunge wa Upinzani na Hii si Sawa kabisa

Source Jambo TV

Tundu Lisu: Mkitumaliza Sisi mtaanzana Wenyewe kwa Wenyewe!
Usaliti je una faida gani?Kumbuka usaliti haujawahi mweka mtu yeyote yule mahali salama hata Yuda Iskariote alipomsaliti Yesu alijinyonga hivyo basi Gambo bado zamu yako uliaminishwa na Magufuri kuwa Wapinzani walichelewesha maendeleo sasa yamekukuta.Wewe,Ole Sabaya,Mnyeti,Makonda,Polepole na Ndugai mlikuwa hatari sana,kiasi kwamba nchi mliiweka mifukoni mwenu,pambana na hali yako Gambo.
 
Back
Top Bottom