Wasira: CCM imejaa fitina na unafiki

Wasira: CCM imejaa fitina na unafiki

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,250
Reaction score
98,247
Huyo ni kada mwaminifu na mtiifu wa ccm labda kuliko wote kwa sasa ndani ya ccm. Anasema ccm kumejaa fitina na majungu mengi ili kulinda nafasi za wahusika.

Kama Wasira amekiri huo uchafu ndani ya chama mimi nani nisiamini kuwa ccm haifai kuendelea kushika dola? Watanzania tufanye maamuzi magumu tuiondoshe ccm madarakani mwaka 2025.

Screenshot_20230406-110221_Instagram.jpg
 
Huyo ni kada mwaminifu na mtiifu wa ccm labda kuliko wote kwa sasa ndani ya ccm.

Anasema ccm kumejaa fitina na majungu mengi ili kulinda nafasi za wahusika...
Unafiki ni sifa mojawapo kati ya sifa tatu anazotakiwa kuwa nazo Mwanasiasa wa Africa. Na alicho kifanya hapa wasira pia ni unafiki.

Kwa nini hakuyasema hayo enzi za ubunge wake?
 
Wewe pamoja na huyo wasira mnaota
 
"CCM kwa sasa kumejaa Majungu na Fitna na kama haya yasiporekebishwa haraka Chama kitaparaganyika na Watu kuvuragana kisha Kuanguka Kisiasa"

Akina GENTAMYCINE Kutwa tukiwa tunasema hapa JamiiForums kuwa CCM kuna tatizo Kubwa na Chama Kijitafakari pamoja na Watendaji wake huwa hamtuelewi na badala yake mnatutukana na hata kutuundia Tume / Kamati za Kutunyamazisha.

Haya mbishieni sasa Mzee Wassira.
 
Huyo ni kada mwaminifu na mtiifu wa ccm labda kuliko wote kwa sasa ndani ya ccm.

Anasema ccm kumejaa fitina na majungu mengi ili kulinda nafasi za wahusika...
Ngoja aje mfia Chama johnthebaptist tuone anasemaje kuhusu Chama chao!!
 
"CCM kwa sasa kumejaa Majungu na Fitna na kama haya yasiporekebishwa haraka Chama kitaparaganyika na Watu kuvuragana kisha Kuanguka Kisiasa"

Akina GENTAMYCINE Kutwa tukiwa tunasema hapa JamiiForums kuwa CCM kuna tatizo Kubwa na Chama Kijitafakari pamoja na Watendaji wake huwa hamtuelewi na badala yake mnatutukana na hata kutuundia Tume / Kamati za Kutunyamazisha.

Haya mbishieni sasa Mzee Wassira.
Utapigwa mawe kuliko Wasira.
 
Ukisha jaza wavaa kobazi lazima chama kiharibike nakumbuka enzi za Kikwete na makamba

USSR
 
Back
Top Bottom